🤣🤣🤣🤣🤣Kunguru anafugika Kweli.?vina muda basiWapendwa ss hivi nimewekewa limit na shemeji yenu ikifika saa 6 nilale haijalishi niko zone ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa Tz ikisomeka saa 00:00 kuchat mwisho, hivo kwaherini ndoa tamu [emoji12]
Mmmh🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Ma'am you sound familiar, do I know you??
SahihiNakataa huwezi kumjua mtu tabia yake kwa kupitia anachoandika kama unabisha subiri uingie kwenye 18 ya tapeli ukidhani ni mtu smart na hapa jf ndo wamejaa hao
😆😆😆 Nimecheka huyo aliesema mm mganga,hahahah napenda wanavyolia "nyauuuu" ivyo yaan,afu na we unakubal vp dada yko naitwa mganga 😀.
🙆🙆🙆🙆 Yes karibu utibiweNhh Mhhh Inaonekana ni mganga eeh ?
changamoto wakati mwingine ni kuwa: hata wewe mwenyewe hujiui ni mtu wa namna gani.Naomba mtu mmoja apitie ninayoandika then aniambie mi ni mtu wa namna gn na pia na haiba ipi
Akiwa sahihi 80% aniruhusu nim-PM apate muamala wa Moja baridi Moja moto
[emoji120]Npo serious
Hahahahahah kumbe unajua hilo, mi kijana mtanashati mno wachache tu wananifahamu humu.Nimepinga Hilo Kwa Nguvu zangu zote!watu wa mbwinde ndio wanakua hivyo
Mhhhhh!!Habari wakuu,
Husika na kichwa tajwa,
Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.
Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua we ninani.
Kila member huwa ana hoja zake anazoweka katika majukwaa..
Wengine huweka hoja zao siasa, wengine hoja na mchanganyiko..
Kuna wanoweka hoja zao kidini yaani ukiingia huko ni yeye..
Njoo kwa mahusiano na mapenzi huko nako kuna watu huko..
Sasa kuna wale wa chit chat huko nao utawakuta wanajifurahisha zao...
Kifupi katika kupita huko lazima utamjua member yupi na anatabia Gani..
Tuambie uandishi wa member unaweza mjua tabia yake...
Tuambie member nani na anatabia ipi...
Kivumbi kinatimka
Ndoa wapi ww! Haya ntag location tukapate tuvitu vitu unalalaje saa sita na wakati bar......au basWapendwa ss hivi nimewekewa limit na shemeji yenu ikifika saa 6 nilale haijalishi niko zone ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa Tz ikisomeka saa 00:00 kuchat mwisho, hivo kwaherini ndoa tamu [emoji12]
😂😂😂 I think soBado mnasomana?
😂😂😂🙊Duh nimecheka
Unataka ukale kimasikhara huko mbinguni???Donatila [emoji28][emoji28]
Mama mchungaji nampenda kwa sababu anampenda sana yesu Na natamani tuonane mbinguni Siku moja mimi na yeye
Zingatia nlichoandika!changamoto wakati mwingine ni kuwa: hata wewe mwenyewe hujiui ni mtu wa namna gani.
do you know yourself?
🤣🤣🤣🤣 wee ebu jichanganye basi upite mbele yangu huku unatingisha takoMtu ninahisi anaishi kinyume na maandishi yake ni mzabzab ..
.... sijui Kwa Nini namuonaga kama firigisi
Sasa jamani kugegeda kuna mtu asiependa? Ni kwamba tuu mie nalopoka ukweli wa yale yanayotokea pale mwanamke na mwanaume wanapokuwa uchi basi. Its a perfectly natural thing. Ndio starehe pendwa nambari one hapa dunianiMwamba kama mzabzab au Mzee wa kupambania usiamini sana maneno yao ya kugegeda🤣
Huna lolote baya wewe!yaani naamini wewe ni just a normal person na sio kiwembe kama unavyotudanganya....Acha uongo mkuu🤣🤣🤣🤣🤣 wee ebu jichanganye basi upite mbele yangu huku unatingisha tako
Wee kama uanaamini hivyo who am i to argue against that.Huna lolote baya wewe!yaani naamini wewe ni just a normal person na sio kiwembe kama unavyotudanganya....Acha uongo mkuu🤣
Mtoto akililia wembe mpe. Yeye wacha ajipitishe atashangaa mie nachokonoa meno tutoa vuzi lake kwenye meno yanguJoannah usijaribu kupita mbele ya huyu mwamba🤣🤣