Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
πππ Kupemda kwako huko utaona kila kitu ambacho ni tofauti na upendp wenu ni batili.Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.
Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Scopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sanaScorpio (Ng'e)-23 October hadi 21November
Hapa ndio KONKII Kabisa kila niliyewahi kuwa naye nabugi Ile mbaya,alafu kama ni me unakuwa mwakitombeli Ile mbaya sijui lini ntapata match yangu.
It's too early to judgeBinafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.
Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Haya na sisi wa nyota ya mshale, tufafanulie mkuuScopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sana
Licha ya hivyo Wenye Nyota ya scopion , samaki, Hawa watu maisha Yao Huwa Yana andamwa sana na misuko suko ,
Yaani misuko suko ni sehemu ya maisha Yao
Jitahidi u- date na mtu ambaye Nyota yake ni ya udongo ndio mtakaa sawa
Na watu hao ni Wenye Nyota ya mbuzi na ng'ombe
Kwa ujumla watu wanao miliki Nyota zenye asili ya udongo mbuzi na ng'ombe ni watu ambao mara nyingi Huwa na mafanikio makubwa sana ktk maisha Nyota zao ni nzuri mnooo
Kweli kabisa Mkuu, umenena vyemaScopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sana
Licha ya hivyo Wenye Nyota ya scopion , samaki, Hawa watu maisha Yao Huwa Yana andamwa sana na misuko suko ,
Yaani misuko suko ni sehemu ya maisha Yao
Jitahidi u- date na mtu ambaye Nyota yake ni ya udongo ndio mtakaa sawa
Na watu hao ni Wenye Nyota ya mbuzi na ng'ombe
Kwa ujumla watu wanao miliki Nyota zenye asili ya udongo mbuzi na ng'ombe ni watu ambao mara nyingi Huwa na mafanikio makubwa sana ktk maisha Nyota zao ni nzuri mnooo
Kwa sasa Niko na mwanamke yeye ana nyota ya libra tuna miaka miwili sasa,ila mahusiano yetu naonaga kila mmoja anafanya Bora liende tuScopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sana
Licha ya hivyo Wenye Nyota ya scopion , samaki, Hawa watu maisha Yao Huwa Yana andamwa sana na misuko suko ,
Yaani misuko suko ni sehemu ya maisha Yao
Jitahidi u- date na mtu ambaye Nyota yake ni ya udongo ndio mtakaa sawa
Na watu hao ni Wenye Nyota ya mbuzi na ng'ombe
Kwa ujumla watu wanao miliki Nyota zenye asili ya udongo mbuzi na ng'ombe ni watu ambao mara nyingi Huwa na mafanikio makubwa sana ktk maisha Nyota zao ni nzuri mnooo
Mkuu huu ni ushirikina kabisa, kama ingekua hivyo uswahilini wangekua mbali kimaendeleo mana ndo wanaendekeza ushirikina sana.Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.
Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Mbona bango kali mrembo ?
Sio kali mkuu huo ndio hali halisiβ¦Mbona bango kali mrembo ?
Mkuu vipi mnaendeleaje?Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.
Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Mimi GeminiPasipo kumumunya maneno mkuu,hio ni short term pleasure but in long term she is not worth.
Wewe ni Pisces asili yako ni maji na mwenzako ni Aries asili yake ni moto.
Nyie ni watu wawili tofauti kabisa.