Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
😂😂😂 Kupemda kwako huko utaona kila kitu ambacho ni tofauti na upendp wenu ni batili.Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.
Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Siku mkipigana vibuti utaanza kuuamini utabiri wa nyota tena.
Nakushauri penda kiasi, kwa hii comment yako yaonesha ulivo mpofu juu ya huo upendo wenu.