Je, uanzishapo mahusiano/umuoe nani kulingana na nyota yako?

Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.

Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
😂😂😂 Kupemda kwako huko utaona kila kitu ambacho ni tofauti na upendp wenu ni batili.

Siku mkipigana vibuti utaanza kuuamini utabiri wa nyota tena.

Nakushauri penda kiasi, kwa hii comment yako yaonesha ulivo mpofu juu ya huo upendo wenu.
 
Scorpio (Ng'e)-23 October hadi 21November

Hapa ndio KONKII Kabisa kila niliyewahi kuwa naye nabugi Ile mbaya,alafu kama ni me unakuwa mwakitombeli Ile mbaya sijui lini ntapata match yangu.
Scopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sana

Licha ya hivyo Wenye Nyota ya scopion , samaki, Hawa watu maisha Yao Huwa Yana andamwa sana na misuko suko ,

Yaani misuko suko ni sehemu ya maisha Yao

Jitahidi u- date na mtu ambaye Nyota yake ni ya udongo ndio mtakaa sawa

Na watu hao ni Wenye Nyota ya mbuzi na ng'ombe

Kwa ujumla watu wanao miliki Nyota zenye asili ya udongo mbuzi na ng'ombe ni watu ambao mara nyingi Huwa na mafanikio makubwa sana ktk maisha Nyota zao ni nzuri mnooo
 
Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.

Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
It's too early to judge

Save my words lazima litakuja kuwa Kuta jambo , Kama sio mahusiano yenu kuandamwa na mikosi Ugomvi Kila wakati basi lazima mtapitia magumu sana ikiwemo kufilisika
 
Scopion ni Nyota yenye nguvu sana Kwa sababu nyumba yake ya Asili ni Maji hivyo basi ukiwa una date Na mtu ambaye Nyota yake ni moto au upepo lazima mtasumbuana sana

Licha ya hivyo Wenye Nyota ya scopion , samaki, Hawa watu maisha Yao Huwa Yana andamwa sana na misuko suko ,

Yaani misuko suko ni sehemu ya maisha Yao

Jitahidi u- date na mtu ambaye Nyota yake ni ya udongo ndio mtakaa sawa

Na watu hao ni Wenye Nyota ya mbuzi na ng'ombe

Kwa ujumla watu wanao miliki Nyota zenye asili ya udongo mbuzi na ng'ombe ni watu ambao mara nyingi Huwa na mafanikio makubwa sana ktk maisha Nyota zao ni nzuri mnooo
Haya na sisi wa nyota ya mshale, tufafanulie mkuu
 
Kweli kabisa Mkuu, umenena vyema
 
Kwa sasa Niko na mwanamke yeye ana nyota ya libra tuna miaka miwili sasa,ila mahusiano yetu naonaga kila mmoja anafanya Bora liende tu
 
Punda mbn haipo na mm niko na dem yy nyota yake ni punda, me Ndoo???[emoji848][emoji848]
 
IMG_3873.jpg
 
Binafsi mimi ni Pisces ila nina wife to be Aries.Mtoto kadata kinoma,of course mimi pia nimedata.

Sometimes utabiri wa nyota haupo sahihi kwa 100%.
Mkuu huu ni ushirikina kabisa, kama ingekua hivyo uswahilini wangekua mbali kimaendeleo mana ndo wanaendekeza ushirikina sana.

Kama ni muislam fata misingi ya uislam, kam ni mkiristo fata misingi ya ukiristo, achana na mambo ya nyota.

Kuna watu hata siku ya ndoa na majina ya wake zao wanabadilisha eti kutakua na mikosi. Hii haifi
 
Mama yangu ni libra na baba ni cancer. Sijaona kuendana lakini mpaka leo wako pamoja. Naomba hizi ramli chonganishi zifutwe. Kudumu ni Mungu awepo na aabudiwe kwa roho na kweli. Yeye ndo mwanzilishi..yeye ndo atamaliza kila kitu.
 
Pasipo kumumunya maneno mkuu,hio ni short term pleasure but in long term she is not worth.

Wewe ni Pisces asili yako ni maji na mwenzako ni Aries asili yake ni moto.

Nyie ni watu wawili tofauti kabisa.
Mimi Gemini
Mwenzangu Libra
 
Back
Top Bottom