Hilo swali lako mpaka sasa bado wanasayansi hawana jawabu la moja kwa moja.Naweza nisiwe sahihi sana lakini ni kama ulinganifu wa RAM na ROM je kuna mahusiano gani ya ki mawasiliano kati ya moyo na ubongo?( roho na ufahamu) na ni kipi kati ya hivi viwili chenye nguvu ya uhawalisho na kichocheo chanya ama hasi dhidi ya kingine?
Jr[emoji769]
Leo ngoja tuchanganyane kwa mtindo huu, nijuavyo mimi ni kuwa, matendo ya mwanadamu yanaratibiwa na kupangwa katika madhumuni tofauti tofauti kwenye MOYO, kisha kupitia MOYO ndio yanaanza kutawanya katika sehemu husika, yanayohusu kumbukumbu yanaenda kwenye ubongo.Naweza nisiwe sahihi sana lakini ni kama ulinganifu wa RAM na ROM je kuna mahusiano gani ya ki mawasiliano kati ya moyo na ubongo?( roho na ufahamu) na ni kipi kati ya hivi viwili chenye nguvu ya uhawalisho na kichocheo chanya ama hasi dhidi ya kingine?
Jr[emoji769]
Mkuu Zurri definitely akili iko kwenye ubongo na ndio maana haya IQ (kiwango cha ufahamu/akili) huhusianishwa na ubongoHivi kwanza AKILI katika mwili wa mwanadamu iko wapi ?
Je ni MOYONI au kwenye UBONGO?
Kuna kitu hapa nataka tuwekane sawa kidogo ili tuweze kusafiri pamoja katika safari hii ya kubadilishana maarifa, unaposema Moyo yake hisia una maanisha nini ?Mkuu Zurri definitely akili iko kwenye ubongo na ndio maana haya IQ (kiwango cha ufahamu/akili) huhusianishwa na ubongo
Moyo chake ni hisia, na ubongo chake ni changamoto.. Inapotokea changamoto kwenye hisia za mahusiano vyote viwili huhusika kila kimoja cha namna yake
Moyo kwa hisia za kuumizwa/kuumiza ama kuwa na 'sense of guilty, '
Ubongo kwa ajili ya kutafuta namna bora ya kutatua tatizo husika
Jr[emoji769]
Hapa nimezungumzia mambo mawiliKuna kitu hapa nataka tuwekane sawa kidogo ili tuweze kusafiri pamoja katika safari hii ya kubadilishana maaeifa, unaposema Moyo yake hisia una maanisha nini ?
Wamisri wa kale waliamini moyo ndio kila kitu kufikiri, maamuzi kuendesha mwili in general nk. in short kazi zote zinazofanywa na ubongo leo ni waliamini ni moyo huo katika ubora wakeAiseh hii inasisimua... Moyo na ubongo ni organs za aina yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay sawaHivi kwanini unatumia nguvu nyingi kutaka kuonesha kuna ugomvi kati yetu wakati sikufahamu zaidi ya ID yako ambayo hata hivyo sio halisi?
Hii ni forum ya hoja na malumbano kwa wenye kufikiri zaidi ya kufikiri (great thinkers) ni mahali ambapo wanakutana watu wa kada zote, ufahamu na maono tofauti kila mmoja wetu kwa kipawa chake.. Hatuwezi kufanana
Ni kwa muktadha huo siwezi kujipa stress ninapokutana na mtu ambaye mitazamo yake ni kimo cha mbilikimo.. Nunachoweza kufanya ni kumpuuza ili nisianze malumbano yasiyo na tija na kuanza kuoneshana misuli ya ujuaji
Jr[emoji769]
Ni maamuzi binafsi sina mamlaka nayo.. Siwezi kukupangia.. Lakini nini maana ya kuwa na ID nyingi? Nadhani ni aina fulani ya kutojitambua.. Kwamba unakuja na ID ya kwanza ukiwa mstaarabu sana halafu unabadili na kuja na nyingine na kuandika upumbavu na kujiona bonge la mjanja...Okay sawa
Ngoja nitumie I'd ambayo hatuna shida na ni marafiki kupitiliza [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea...Na I'd mbili mzee zte zna avatar kama hii
Tuachane na haya ngoja nitoe shule ndg ya ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kutumia kiswahili zaidi.. Inaposhindikana kabisa ndio weka misamiati ya kiingereza.. Ukichanganya sana post inakosa ladhaFirst unajua kwamba tunaweza remove half ya brain na still a person anaweza kusurvive vizuri tu bila shida yeyote
There was a patient alkua kama ana miaka 21 ni oldest patient kuwa na hemispherectomy na mimi kumu operate tuli remove half ya brain ake for her to survive
Ofcz after op alkua na violent seizures za hapa na pale lakini soon the another hemisphere ikajua tumeondoa hafu nyingine ikaji adapt na kufanya vizuri
Of course alirudi college na akafanya vizuri sana scoring A's and B's
Kwa nini nmeanza na huu utangulizi
Naendelea hapa chij
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kutumia kiswahili zaidi.. Inaposhindikana kabisa ndio weka misamiati ya kiingereza.. Ukichanganya sana post inakosa ladha
Jr[emoji769]
Sijatatizika nimesema ukichanganya sana post inakosa ladhaSawa sawa chief ntajitahidi
Ingawa neno kama hemispherectomy nmekosa msamiati wake wa kiswahili
Ila ni procedure ya kuondoa nusu ya ubongo
Kirahisi ni hivo
Neno gani lingine limekutatiza boss
Sent using Jamii Forums mobile app