Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?

Tunasubiria Lecture Chief

Sent from my SM-A750F using Tapatalk
 
ni kweli mna bifu chief??[emoji88][emoji49][emoji88][emoji49]
Sijawahi kuwa na bifu na mtu yeyote hapa JF.. Tunapishana kwa hoja na hatred za kibinadamu tuu.. Inawezekana wengine wana huo muono lakini sio mimi

Jr[emoji769]
 
Mshana jr na Baba Swalehe mnatuharibia mada na mambo yenu binafsi. Mfute sasa comments zenu za malumbano tuendelee kupata elimu.
 
Sina mambo binafsi na mtu rafiki.. Tuko kwenye mada.. Tuendelee kujifunza na kuchangia kwa weledi maarifa na uzoefu

Jr[emoji769]
Sawa, enhe endeleeni kutupa darasa.

Mimi nataka kujua mtu akiwa Coma, huwa anakuwa kama amekufa au ubongo unaendelea kufanya kazi? Hasikii yanayoendelea?
 
Sawa, enhe endeleeni kutupa darasa.

Mimi nataka kujua mtu akiwa Coma, huwa anakuwa kama amekufa au ubongo unaendelea kufanya kazi? Hasikii yanayoendelea?
Ubongo unafanya kazi bado lakini kwenye sub conscious state... Ni kama blackout kwenye simu hakuna mwanga lakini haimaanishi haiko hewani au ni kama unapozima taa nknk

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…