Kikubwa vyama vya upinzani vihakikishe vinaweka ushahidi wote wa interaction yao na vyombo vya habari (barua za maombi, barua za kukataliwa, recorded audio clips za mawasiliano ya simu, recorded video clips zinazothibitisha kukataliwa, nk, nk.)...vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki...
Wajumbe Walishaanza kutekeleza uhuru na hakiMkuu Joka Kuu, Uchanguzi Mkuu wa October, utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Hakikisho hili limetolewa na Amiri Jeshi Mkuu wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
P
Nini uthibitisho wako?..vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki.
..siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa.
..Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
Wewe P toka Wajumbe wamwkufyeka naona hata uwezo wa kufikiri Umepungua Hakuna Uchaguzi huru Tanzania Suala la kuzuia Vyombo vya Habari tu ni Ushaidi Tosha Watanzania sio Wajinga Kama TBC ambayo ni Ya Walipa Kodi Inabagua Vyama unatarajia Nini?Mkuu Joka Kuu, Uchanguzi Mkuu wa October, utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Hakikisho hili limetolewa na Amiri Jeshi Mkuu wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Tanzania tuna Tume huru ya uchaguzi na tuna vyombo huru vya habari, ikitokea vyombo vya habari kwa kuutumia uhuru wake, vikaona habari ni ya CCM tuu, then be it huo ndio uhuru wenyewe...
Pascal wa sasa siyo yule mwandishi nguli aliyekuwa objective. Wa sasa ni lackey wa ccm, hivyo sitarajii kuona hoja yenye substance kutoka kwako kuhusiana na uchaguzi ulio huru na hakiMkuu Joka Kuu, Uchanguzi Mkuu wa October, utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Hakikisho hili limetolewa na Amiri Jeshi Mkuu wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Tanzania tuna Tume huru ya uchaguzi na tuna vyombo huru vya habari, ikitokea vyombo vya habari kwa kuutumia uhuru wake, vikaona habari ni ya CCM tuu, then be it huo ndio uhuru wenyewe..
Kudos Bosi kwa kuusema ukweli.Kuna "selection"
Na kuna "election"
Ya kwetu sio election
Hakuna uchaguzi kabisa..thats my prediction!Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki.
Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa.
Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
Nakuunga mkono. Dalili zingine ambazo zinafanya uchaguzi huu usiwe huru na haki ni pamoja na:Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki.
Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa.
Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
Mhurumieni. Mwenzetu huyu anapalilia fursa ikiwa JPM atashinda. Kwao kuna msemo: "Ka-nkila ka mbuli kakihyagulilaga bulalo wako". Tafsiri isiyo rasmi ni kuwa: Ka-mkia ka mbuzi kanajisafishia malazi yake.Pascal wa sasa siyo yule mwandishi nguli aliyekuwa objective. Wa sasa ni lackey wa ccm, hivyo sitarajii kuona hoja yenye substance kutoka kwako kuhusiana na uchaguzi ulio huru na haki
Halafu huo ushahidi waupeleke wapi?[emoji88][emoji16]kikubwa vyama vya upinzani vihakikishe vinaweka ushahidi wote wa interaction yao na vyombo vya habari (barua za maombi, barua za kukataliwa, recorded audio clips za mawasiliano ya simu, recorded video clips zinazothibitisha kukataliwa, nk, nk.)...
Yule mzee ni mnafiki sana kinachofanyika chini ya kapet ni tofauti kabisa na anayoyaongea akiwa na wachungajiMkuu Joka Kuu, Uchanguzi Mkuu wa October, utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Hakikisho hili limetolewa na Amiri Jeshi Mkuu wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli...