Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kuna baadhi ya mazingira uswahilin wanaishi kizamani umwinyi mwingi,Tunaomba utudadavulie zaid ili tuelewe vizur chief
Yaani wew henyeka ila faida mnagawana
Unakuta biashara unafanya faida huvuni ukiwa na imani kwamba biashara mtaji utaongezeka lakini matokeo ni tofauti
hapa kidogo lazima uweke biblia chini maana nguvu ya upande wa giza imebisha hodi
Na inabidi upambane la sivyo utarudi kwa mguu nyumbani