Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkuu ingekua mambo yanaenda smoothly kama hivyo basi tungetegemea kuona biashara za makufuli na security tools kama CCTV camera zinakufaSizungumzii kwa wengine, ila kwangu binafsi.
Nafanya biashara ya kifedha (za mtandao na benki). Mwaka 2018 nilipigwa tukio na wakulungwa wakaondoka na 28+ Million cash, simu na mashine za benki.
Nilimpigia simu mama yangu kumueleze maswaibu yaliyonipata. Alishangaa sana nimesurvive vipi zaidi ya miaka 5 bila kuzindika eneo langu la biashara.
Akanitaka niende nyumbani kwa mwitikio wa haraka. Baada ya kuandika maelezo polisi, jioni nikazama nyumbani.
Akanipeleka kwa mzee mmoja. Wala siyo mchawi, ila ni mtaalamu wa kuzindika.
Kuzindika siyo uchawi. Nikampeleka mjini. Akafanya yake akarudi.
Nimeshakosa majaribio matatu ya kuvamiwa.
Na ripoti zote nazipata kutoka polisi. Wakivamia na kukamatwa, wakihojiwa wanasema walipanga kuja kuniibia. Ila mikakati yao inafeli.
Zindiko ni muhimu sana.
Nani mwenye mali ambaye haitaji kuzilinda zisiibiwe mpaka atumie gharama kubwa kulipa walinzi wakati ukiwa na zindiko hayo yote huyaitaji?
Kuna sababu nyingi za wewe kutoibiwa mara ya pili bila kuhusisha uchawi
Majambazi waliovunja na kuiba ndio wanajua siri ya duka lako, halafu wezi kuja kuiba kwako mara moja haimaanishi wameweka territory kua next project lazima waje tena hapo kuiba na ikisipotokea wameiba useme ni dawa uliyopewa na mganga ndio imewazuia