Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kuna baadhi ya mazingira uswahilin wanaishi kizamani umwinyi mwingi,Tunaomba utudadavulie zaid ili tuelewe vizur chief
Mkuu umenifanya nicheke sana.Sasa sisi tunakaa kwa mashemeji mkuu, tunasubiri vocha vocha za bando na kula vya bure tutajua nini zaid ya kusikia sikia tu kwenye vijiwe vya mtaani na umbeya..yatatukuta wapi hayo hata hatutembei juani, sisi tuko ndani full time tunaangalia series...
Duh!Kuna baadhi ya mazingira uswahilin wanaishi kizamani umwinyi mwingi,
Yaani wew henyeka ila faida mnagawana
Unakuta biashara unafanya faida huvuni ukiwa na imani kwamba biashara mtaji utaongezeka lakini matokeo ni tofauti
hapa kidogo lazima uweke biblia chini maana nguvu ya upande wa giza imebisha hodi
Na inabidi upambane la sivyo utarudi kwa mguu nyumbani
Kuna watoto wa miaka mitano wanakuzidi akili.Yan hapa kwa domo hili chafu ndio nigezidi kupata sababu ya kukutoa kafara, wewe, mama yako, baba yako, mke wako, watoto wako, dada zako, kaka zako , yani nimgemaliza ukoo wako wote bladfaken! Damu ingekua inachuruzika tu mizimu wanafurahia damu yako na familia yako.
Mawazo ya kiafrica.Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.
Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
Hapana hujasoma biblia vizur! Utajir ni mali ya Mungu aliye hai shetani hana utajili wowote ule! Sitaki kuandika mengi Ila watakuja walio na ufahamu zaidi ya Mambo ya rohoni watakufafanulia kuna memba humu anaitwa "kalunya" huwa namfatilia anaweza akakufungulia code za rohoni kwa ufahamu wake!Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.
Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
hapo sawa naona ulitaka kupingana ma maelezo yako hapo mwanzo kuwa shetani ana utajiri! nataka nikuhakikishie Shetani hana hata utajiri na hatoi utajili...Huo alionao anaowapa watu wake ni kiini macho tu na ndo maana mtu akikosea masharti tu huwa unapukutika na kumwacha mtu fukara wa kutupwa kama sio Mauti!Mithali 8:18, Mungu anajifunua kupitia neno lake kwamba ukiutaka utajiri na heshima uko kwake.
Heshima anamaanisha kazi, cheo etcView attachment 2005354
Elewa kwamba utajiri wa mtu ni siri/fumbo kubwa!Kwahiyo Bakheresa, Dewji ni makafara.
Sasa aliyegundua FB, Amazon anarogea wapi?
Dangote nae kile kiwanda cha Mtwara kinarogea wapi?
#YNWA
Du kwa hiyo matajiri wote hela zao za mashetani? Mbona wengine ndo viongozi church kwanguNgoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.
Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
🤣🤣🤣🤣Hakuna uchawi, juhudi binafsi katika utafutaji ndio daraja litaloweza kukufikisha kwenye point ya utajiri
Africa tuko kwenye rank za juu kabisa katika mabara yenye imani za kishirikina, lakini hatujaweza kutoa hata mchawi mmoja kwenye top 10 ya mabilionea
Swali la kizushi kwa wewe unayeamini uchawi
Utachukua reaction ganu siku ambayo umemuajiri mtu akuuzie duka lako halafu baada ya siku kadhaa akaja kukuambia ule mtaji wote umesombwa na wachawi kupitia chuma ulete??
Ushakuwa mshirikina tayariSizungumzii kwa wengine, ila kwangu binafsi.
Nafanya biashara ya kifedha (za mtandao na benki). Mwaka 2018 nilipigwa tukio na wakulungwa wakaondoka na 28+ Million cash, simu na mashine za benki.
Nilimpigia simu mama yangu kumueleze maswaibu yaliyonipata. Alishangaa sana nimesurvive vipi zaidi ya miaka 5 bila kuzindika eneo langu la biashara.
Akanitaka niende nyumbani kwa mwitikio wa haraka. Baada ya kuandika maelezo polisi, jioni nikazama nyumbani.
Akanipeleka kwa mzee mmoja. Wala siyo mchawi, ila ni mtaalamu wa kuzindika.
Kuzindika siyo uchawi. Nikampeleka mjini. Akafanya yake akarudi.
Nimeshakosa majaribio matatu ya kuvamiwa.
Na ripoti zote nazipata kutoka polisi. Wakivamia na kukamatwa, wakihojiwa wanasema walipanga kuja kuniibia. Ila mikakati yao inafeli.
Zindiko ni muhimu sana.
Kwa afrika ni tofauti hata wahindi na waarabu piaDunia inaendeshwa kwa maarifa na sio maarifa ya kichawi.
🤣🤣🤣Ungewaona wamama wanaotuuzia vitafunio wanavyotufanyia walah tungekua tunakula mikate tu.
Kama amem target mteja Fulani Basi baada ya kupika Ile chapati ya kwanza anavua chupi na kuiweka Ile chapati kwenye kigoda chake na kuikalia akiwa hajavaa chupi Wala Nini. Kaka hiyo chapati ukiila umekwisha.
Kuna msomi mmoja mzuri tu alimuachia mkewe msomi mwenzake na kumuoa mdada aliyekua anahudumu kwa mamake mama ntilie.
Lyamba lya mfipa sio mji kwanzaNimeishi kigoma, pangani, tanga mjini, sumbawanga, namanyere, lyambamfipa, shinyanga, bariadi huko wanasema kuna mlango wa kuzimu, pemba na mafia kote huko nk nk lakini sijawahi kukwamishwa jambo langu kwa namna yoyote ile ya kichawi labdq figisu tu za kuchongeana kwenye majukumu. Mm siamini katika utajiri ni nguvu za shetani bali naamini utajiri ni katika juhudi na mawazo yetu katika kufanya kazi.
MtumishiHapana hujasoma biblia vizur! Utajir ni mali ya Mungu aliye hai shetani hana utajili wowote ule! Sitaki kuandika mengi Ila watakuja walio na ufahamu zaidi ya Mambo ya rohoni watakufafanulia kuna memba humu anaitwa "kalunya" huwa namfatilia anaweza akakufungulia code za rohoni kwa ufahamu wake!
niko poa mtumishi...unaendeleaje?Mtumishi