Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

Hongera Sana kuchagua upande wa mwanga, maana it is either giza or mwanga na usimame kweli kweli otherwise giza linakuvuta. Ndg yangu usirudi nyuma!
 
Kwa sauti ya ulimwengu huu hautaeleweka!
 
Unachopaswa kujua tu ni kwamba inapoishia sayansi ndio uchawi unaanzia hapo kwenda mbele.
 
Yaani mkuu hapa ndo umemaliza kila kitu sikuzote kwenye biashara chagua upande mmoja either Mungu au shetani na usimame kwa bidii kwelikweli Sasa unakuta mtu yupoyupo tu kuomba haombi, kuzindika hazindiki halafu anasema Mungu atanisaidia😄😄 kwa mfano mtu wa upande wa giza siku zote Wana juhudi Sana na watiifu Sana akiambiwa kazunguke uchi kwenye biashara yako saa name usiku anatii na anafanya, kavunje Nazi round about anafanya🤣🤣.njoo Sasa kwa mtu anayemtegemea Mungu kwanza wengi ni wavivu wa kuomba na pia sio watii fungu la kumi tu anaiba kwa hiyo tunakwama hapa
 
Dunia inaendeshwa kwa uchawi ila wenye akili pana ndio wanafaidi hasa wazungu maajabu nimeyaona kwa mama wa kifaranga noma sana
Mama wa kifaranga alifanyaje mkuu?
 
Huu ndo ukweli
 
k
kabla hujaomba Mungu alikua hajui
Mbona una umri average, lakini hujui vitu vingi.
kuamini imani za kijinga za kishirikina ndio kujua vitu vingi,sumbawanga kuna matajiri wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…