Je, Uchawi una nguvu kuliko sayansi?

Je, Uchawi una nguvu kuliko sayansi?

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
5,550
Reaction score
5,379
Nimekua nikisikia watu wakisimulia, nguvu ya uchawi ikiishinda nguvu ya sayansi, mfano: Gari au mashine mbalimbali na hata umeme, kushindwa kuwaka kwa hujuma za kichawi.

Kuna kiss nilisimuliwa Ndege kushindwa kuwaka baada ya Mzee mmoja kuzuiwa kupanda, ila rubani alipohisi kitu, aliomba yule Mzee aitwe ajiandae kwa safari, ikitumwa gari, kwenda kumfuata maana tayari alikua amesharudi kwake. haa hivyo Mzee alikataa akidai ameshahairisha safari yake, anajiandaa kusafiri siku nyingine tena.

Baada ya kubembelezwa sana yule mzee akakubali kuondoka, alipofika uwanja wa ndege na kuingia ndani ya Ndege, Ndege ikawaka.ikumbukwe hii haikua Ndege ya biashara za abiria hii ilikua Ndege ndogo zinazotua hata viwanja vidogo.

Pia nimewahi kusikia Kuna kijiji kimoja gari haziruhusiwi kupita baada ya saa moja usiku, ukipita baada ya hapo gari itaharibikia kijijini hapo mpaka asbuhi ndipo itapona, na mtakayoaona usiku huo mtahisi mmekaa mwaka mzima kijijini hapo.

Pia jamii ya wachina inasemekana na hujenga madaraja usiku huku wakihusishwa na kutumia uchawi katika ujenzi huo. Nadhani hata wewe msomaji, utakuwa umewahi kusikia, Kama sio kuona visa hivi vya uchawi kuizima sayansi. Sasa je ni kweli uchawi una ngvu kuliko Sayansi?
 
Ntakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.

Ukweli ni kwamba story zote ulizosikia hapo juu hakuna hata moja yenye ukweli, na kama kuna mwenye proof aje mbele anionyeshe atapokea pesa chap chap. Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akichomwa moto anawaka tu, au akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile. Kama wana supernatural powers they might as well make themselves immortal.

Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela, na ambaye haamini aseme uchawi aliuona wapi ili tumsaidie kuprove kua alichokiona sicho anachodhani alikiona bali lazima kuna kitu kilitrick ubongo wake into thinking kua aliona kitu kumbe hakikutokea.
 
Wewe humjui hata Mungu ndo mbna una amini uchawi hakuna,ktk maisha tunayoishi hapa duniani kuna ulimwengu wa aina mbili,ulimwengu wa roho ambao ni wa giza na ulimwengu wa roho ambao ni nuru,ulimwengu wa roho wa giza ndo kuna wachawi na mapepo pamoja na shetani,ulimwengu wa roho wa nuru ndo kuna Mungu na malaika zake,yote haya huwezi kuyaona kwa macho ya kawaida,uchawi upo hata ktk Biblia umetajwa,ukitaka kuhakikisha uwepo wa uchawi itakubidi pia uhakikishe uwepo wa Mungu na malaika zake,huwezi kukataa uchawi halafu ukakubali uwepo wa Mungu,mchawi anakuja nyumbani kwako usiku wa manane anaingia na kufanya atakavyo tena bila kufungua mlango wala kuvunja,kama huamini tafuta watu kama mzizi mkavu au mshana jr au wengine,wakupe dawa ya kuwaona wachawi ktk ulimwengu wa roho,acha umbumbumbu wa kutokujua mambo yanayoisibu dunia hii unayoishi,vinginevyo utakuwa mjinga wa mwisho kuwahi kutokea,hata maisha uliyonayo yanaguswa na ulimwengu wa roho utake usitake.
 
Anaye kataa kuwa uchawi hakuna anaudanganya umma.. uchawi upo na umeandikwa hata kwenye vitabu vya dini.. sasa ww ni nani hata upingane na vitabu vya dini?
 
Uchawi upo, kila siku tumekua tukisikia, matukio ya uchawi Lugha nyingine ushirikina. Kwa wale wanaamini kuwa uchawi upo Na unafanya kazi, ndiyo tuujadili hapa Ni kweli uchawi Una nguvu ya kuiizimma sayansi?
 
Ntakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.

Ukweli ni kwamba story zote ulizosikia hapo juu hakuna hata moja yenye ukweli, na kama kuna mwenye proof aje mbele anionyeshe atapokea pesa chap chap. Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akichomwa moto anawaka tu, au akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile. Kama wana supernatural powers they might as well make themselves immortal.

Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela, na ambaye haamini aseme uchawi aliuona wapi ili tumsaidie kuprove kua alichokiona sicho anachodhani alikiona bali lazima kuna kitu kilitrick ubongo wake into thinking kua aliona kitu kumbe hakikutokea.
dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpya
ni kazi rahisi sana kuwadanganya watu kuliko kuwaambia mnadanganywa

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:

Bado ninasubiri mtu aje na evidence, watanzania story za kwenye kahawa zinawaumiza sana, wengi wanaishi kwenye fairy tales tu.

Wabongo kila wakisikia neno uchawi wanapanick sana, nilishapigwa biti na watu kibao tu wananitishia kuniroga kwa kua nawapa live, hadi leo nazidi kufanikiwa, huo uchawi wao naona sijui ulikwama. Ukweli unabaki palepale tu, hakuna aliyeshuhudia live anything supernatural, tunadanganyana tu.
 
Sema wewe ndiye hujawahi shuhudia, try to be specific and not general. Kutokushuhudia kwako, na kutoamini kwako, hakuondoi uhalisia wa mambo.
 
Bado ninasubiri mtu aje na evidence, watanzania story za kwenye kahawa zinawaumiza sana, wengi wanaishi kwenye fairy tales tu.

Wabongo kila wakisikia neno uchawi wanapanick sana, nilishapigwa biti na watu kibao tu wananitishia kuniroga kwa kua nawapa live, hadi leo nazidi kufanikiwa, huo uchawi wao naona sijui ulikwama. Ukweli unabaki palepale tu, hakuna aliyeshuhudia live anything supernatural, tunadanganyana tu.

Hiyo evidence utajuaje kuwa ni evidence wakati huamini katika uchawi? Huo uchawi ukiletwa mbele zako utaamini kwamba huo ndio?
 
Ntakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.

Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile.

Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela,

Kwani uchawi ni nini?

Pia google mtu anaitwa slavisa alafu urudi uniambie kama theory yako ina apply kwa kila mtu.
 
Slavisa wapo wengi sana naomba uwe specific, google imenipa search results za majina tofauti, unamuongelea nani exactly?
 
Bado ninasubiri mtu aje na evidence, watanzania story za kwenye kahawa zinawaumiza sana, wengi wanaishi kwenye fairy tales tu.

Wabongo kila wakisikia neno uchawi wanapanick sana, nilishapigwa biti na watu kibao tu wananitishia kuniroga kwa kua nawapa live, hadi leo nazidi kufanikiwa, huo uchawi wao naona sijui ulikwama. Ukweli unabaki palepale tu, hakuna aliyeshuhudia live anything supernatural, tunadanganyana tu.

dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpya
ni kazi rahisi sana kuwadanganya watu kuliko kuwaambia mnadanganywa

.made in mby city.

unataka kulogwa ?
au unataka kuuona uchawi
au unataka kuwaona wachawi ?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, uchawi upo ila unamfika mtu aliyelegea kiimani. Hivyo kutoamini uchawi ni dawa ya kutokufika, ila ukiamini ndo utakukuta.
 
Back
Top Bottom