Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Nimekua nikisikia watu wakisimulia, nguvu ya uchawi ikiishinda nguvu ya sayansi, mfano: Gari au mashine mbalimbali na hata umeme, kushindwa kuwaka kwa hujuma za kichawi.
Kuna kiss nilisimuliwa Ndege kushindwa kuwaka baada ya Mzee mmoja kuzuiwa kupanda, ila rubani alipohisi kitu, aliomba yule Mzee aitwe ajiandae kwa safari, ikitumwa gari, kwenda kumfuata maana tayari alikua amesharudi kwake. haa hivyo Mzee alikataa akidai ameshahairisha safari yake, anajiandaa kusafiri siku nyingine tena.
Baada ya kubembelezwa sana yule mzee akakubali kuondoka, alipofika uwanja wa ndege na kuingia ndani ya Ndege, Ndege ikawaka.ikumbukwe hii haikua Ndege ya biashara za abiria hii ilikua Ndege ndogo zinazotua hata viwanja vidogo.
Pia nimewahi kusikia Kuna kijiji kimoja gari haziruhusiwi kupita baada ya saa moja usiku, ukipita baada ya hapo gari itaharibikia kijijini hapo mpaka asbuhi ndipo itapona, na mtakayoaona usiku huo mtahisi mmekaa mwaka mzima kijijini hapo.
Pia jamii ya wachina inasemekana na hujenga madaraja usiku huku wakihusishwa na kutumia uchawi katika ujenzi huo. Nadhani hata wewe msomaji, utakuwa umewahi kusikia, Kama sio kuona visa hivi vya uchawi kuizima sayansi. Sasa je ni kweli uchawi una ngvu kuliko Sayansi?