GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kutoka mtaa wa Kajificheni

18 Julai 2025

BALAA! UTEUZI WA RAIS SAMIA KUWA MGOMBEA URAIS WAKOSOLEWA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=shirWtjss_8Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Amb. Humphrey Herson Polepole amekosoa vikali jinsi chama tawala cha Mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar...kule Dodoma tarehe 19 January 2025..

Balozi Polepole anafafanua batili ya uamuzi huo wa ...
 
TOKA MAKTABA
19 January 2025

SAMIA AGOMA KUTOKA NJE, BAADA YA KUOMBWA AZINGATIE UTAMADUNI

Ghafla Mbunge Lusinde Kibajaji Aomba Mwenyekiti Samia Kuwaacha Kwa Jambo Lao. Mwenyekiti Agoma....​


View: https://m.youtube.com/watch?v=qlGYAoqK0Yc19 January 2025
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja live mubashara ya mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika jijini Dodoma, Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.

Leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huu maalum uliowakutanisha wabunge zaidi ya 1900, na kuhudhuiwa na watu zaidi ya 5,000... Livingstone Lusinde baada ya kutoa shukrani akumbushia utamaduni wa kuwataka wagombea watoke nje ya ukumbi ili wajumbe wapate nafasi kuwajadili

Lakini ...ghafla mbunge Lusinde Kibajaji aomba mwenyekiti Samia kuwaacha kwanza wajumbe ili watekeleze jambo lao, Mwenyekiti Agoma kutoka nje na kuwakazia macho wajumbe mnataka kufanya nini mimi nikiwa sipo ukumbini ...

​

 
Ikiwa atachukua form ya NEC kugomea U-Rais kabla ya kujahalalisha uteuzi wake ndani ya CCM kwa kufuata mchakato wa kikatiba na kikanuni, hapo ndo atakuwa haramu. Ila lwa sasa bado huwezi kumpeleka mahakamani.
 
Kwa mahakama ya jaji Mwanga yule ex wa tume ya u uchaguzi ya CCM,hapo hakuna kitu.
 
Mahakama ya mwisho ni nguvu ya wananchi maana wakiamua hata sheria itasimama kwanza.
 
Tatizo ni moja tu, jee tunazo Mahakama Tanzania? Kwa kinachoendelea kwenye kesi ya uhaini ya Lissu na ile ya Wazanzibari vs uongozi wa Chadema ni dhahiri hatuna Mahakama Tanzania.
So Kisutu ni nini🤔
 
kwahiyo pwagu wa siasa unawauliza mapwaguzi wenzio wa kisiasa juu ya huo upotoshaji wako, right?
 
Mahakama ipi sheikh?!
 
TOKA MAKTABA :

DR. MALISA - SAMIA HAKUCHUKUA WALA HAKUJAZA ILE FOMU MOJA


View: https://m.youtube.com/watch?v=-NdDsArLVlU Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM.

Kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya kujiuliza kuhusu uharaka na kitendo hicho Cha ghafla.

Ameeleza kuwa kilicho fanyika ni kinyume Cha utaratibu wa katiba ya CCM kifungu cha 104 kuhusu utaratibu wa kupitisha majina ya watu wanao wania nafasi ya Urais.

Kamati ya siasa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kilimanjaro kilitangaza kumvua uanachama Dkt. Godfrey Malisa kutokana sababu ya kubeza maamuzi halali yaliyofanywa na mkutano mkuu wa CCM taifa 19 Januari 2025 jijini Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari katibu wa CCM Mkoa Mercy Mollel amesema kama kamati wamelazimika kuchukua maamuzi hayo kutokana na matamko mbalimbali aliyokuwa akiyatoa mwananchama huyo mara baada ya kikao hicho
 
Ikiwa atachukua form ya NEC kugomea U-Rais kabla ya kujahalalisha uteuzi wake ndani ya CCM kwa kufuata mchakato wa kikatiba na kikanuni, hapo ndo atakuwa haramu. Ila lwa sasa bado huwezi kumpeleka mahakamani.
Mchakato wa kichama umeshafanyika, ulikuwa mchakato haramu, na halikadhalika, zao la mchakato ule ni haramu pia! Samia ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…