Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mwanamke anayepewa hela ni yule anayewajibika unakutana na mwanamke kwanza tendo la ndoa anakupa kwa masharti kila muda yupo Bize nisipokupa pesa husije nilaumu kwamba mimi bahiriNauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?
mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Kuhudumia ni wajibu wake maana kama anakuwa anamtumia tu unahisi matumizi nani ampe? na ikumbukwe kuwa unapokuwa unaingia kwenye mapenzi kusaidiana ni lazima sio kila kitu umwachie huyo mtu na usipokuwa unamuhudumia kumbuka wapo watakaokuwa wanamuhudumia.Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?
mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888