Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Nikuulize mkuu wewe unaamini? Kwenye imani gani? Yaani namaanisha dini? Islamic au cristian ukiachana na hivyo tamaduni yako ni ipi? Kabila gani?

Hii nafikiri ndio itatupa muongozo wa swali lako tulijibu vipi?

Na kwa maelezo mafupi? Tu

Kuna cha kumpa demu/mchumba na ni tofauti cha kumpa mke- ukichanganya cha kumpa mchumba ukampa mke hapo utakuwa umekosea pakubwa sanaa

Hudumu zinatakiwa zitofautiane usije? Ukampa demu pakubwa siku akija kuwa mke wako wa ndoa ukashindwa kumpa kwa ukubwa ulee wa uchumbani ukaja kumkosa asitulie kwenye ndoa
 
Screenshot_20211110-171940_1.jpg
 
Ww nae una yumba asa unampa buku2 kila siku za nini… Mtu anakuwa akuelewii yaani hiyo elfu 2 ya kufanyia nini


Chagua moja kuacha kumpa hela ajue wewe ni bahiri au kutafuta hela ya maana kumtumia

Swali…

Hiyo elfu 2 unampa kila siku?? Na huwa anakuomba ya nini??[emoji2957]
 
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 26498882000 kwa siku ni ndogo ukizingatia mfumuko WA bei n.k, atleast 50K kwa week kama uchumi wako hauko stable na unaishi location ambazo bei za mahitaji muhimu ziko chini, njia nzuri naona ni kununua stock ya kusogeza ata mwezi, then unafocu na ela ndogondogo za mboga n.k. Mbadala ni muhimu kujichanga n kumfungulia biashara kama huna uhakika WA kumwachia matumizi daily kupunguza ukubwa WA majukumu fact huyo Moto anakupenda is just hayuko comfortable they way mnaishi, Tho si muhimu kuingia kwenye mahusiano kama uchumi hauko stable.

 
Back
Top Bottom