Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Kimboka, chako ni chako, kitambaa cheupe, forodhani, vyuoni, stendi za mabasi, wapangaji, huko ndiko wanako okotana[emoji23].Huwa mnawapata wapi hao malaya?
Mwanaume kutoa ni muhimu lakini sio lazima, toa inapohitajika, atleast kwa mwezi mshitue hata na kijihela cha kumpooza na kumsahaulisha kuwa humuhudumii.
Haya mapenzi ya kise...ng* yamekuwa kama Biashara sasa mtu kabla ujamtongoza unawaza kwanza mtaji wa kudumu nae kwa muda gani.
No money no honey, suluhisho ni kuwa na wanawake wengi iwezekanavyo, akizingua huyu unavuta yule, hakuna kupumzisha akili.
Tuendako mapenzi yatahitajika mtu awe na TIN number na bima ya mahusiano maana pesa imeshika kila mahala[emoji16][emoji23].