Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Umalaya unatokana na hali ambayo mnaitengeneza. Kwanza huna bwana mmoja unataka huduma kutoka kila kona ya mji. Mnawapanga watoto wa watu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Extrovert kwani shule si kila mwanafunzi na ada yake? Hao km wamekubali kupangwa watoe pesa tu hamna namna [emoji2222]
 
Elfu mbili kila siku maana yake ni buku 60 kwa mwezi sasa si bora umpe tu buku 60 kwa pamoja huenda akaona nyingi kuliko kumpa buku mbili kila siku

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama kazini analipwa elfu 7 kwa siku akibeba mizigo je? 😂😂😂😂

Mahusiano ya Tz yana kizungumkuti sana, wengine chuoni tulikuwa na boyfriends mnaishi kila mtu anatumia pesa yake aliyopewa na wazazi wake,wanawake wenzio wanakuambia huyo atakupa nini. Huku kwetu ndio maana wasichana wadogo wanadate wakaka wakubwa au watu wazima, utasikia watu wazima wametulia na wanajielewa, huu ni uongo, sababu kubwa ni kutaka Kuhudumiwa utadhani yatima. Ni sahihi mpaka umri fulani msichana kuendelea kupata huduma kwao.

Watoto wa kiume nao kuruka stage, unaanzaje kuhudumia ikiwa hujasimama kiuchumi, bora kwa kipindi fulani uachane na suala la mapenzi hadi utakapokuwa tayari kimajukumu.

Wamama tulee watoto wakike vizuri, tuwapeleke shule na tuwafundishe majukumu yao ikiwa watakuwa wamefikia umri wa kutaka mahusiano, vivo hivyo kwa wanaume.

Kwenye ndoa tu ndipo mwanaume anapaswa kuhudumia, huku kwingine ibaki zawadi na motisha tu, tena ikiwa he can afford them.
 
Msichokielewa ni kitu kimoja. Huduma za kimapenzi ni function ya
mambo mawili makuu.

1.Hisia au msisimko wa kimahaba baina yenu.
2.Uwezo wa kiuchumi.

Endapo mwanaume atakosa kimojawapo baina ya hayo mawili swala la huduma litakuwa gumu sana kutekelezeka.

Sasa wanakosaje vyote viwili? Si wawe matowashi [emoji1787]
 
Nyie ndio mnajua tumeangalia makalio tukiwaambia hizi mambo. Mwanaume kwenye kuoa anasahau shape na sura ya mwanamke kabisa bali anajali tabia maana anapigia maisha miaka 20 mbele wakiwa wote. Hivyo vishape vikiwa vimefifia. Inshort, wanawake wengi hamjitambui na hamna msimamo katika maisha yenu. Ila mnateteana😂😂😂😂, hongereni.
Sijatetea mtu. Nmesema kama umeamua kuchagua bumunda lako likupasue kichwa usijumuishe wanawake wote
 
Wanaume,

Kila siku nawaambia, acheni kudate na Wanawake waliowazidi UMRI.

Dogo hiyo SMS inaonyesha kuwa una date na Retired war Veteran, Bed to bed Midfielder Ngono kante.

Wanawake wa aina hio ni wale hadi uwalambe Uchi ndio wananyegeka. Gear zinakamatia chini sana.

Be a Man, you deserve better.
[emoji23][emoji23]
 
Muda si mrefu nimeombwa kubadilisha mtungi wa gesi, kwenda kesho saluni kusuka rasta, wiki iliyopita kodi iliisha nikamlipia ya miexi 6, nyie acheni tu.

Ngoja nirudi nyumbani kwa shemeji yenu.
 
Back
Top Bottom