Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Umeongea kwa hisia sana vipi ikatokea kuna jamaa mnyoa kiduku ndio anayemfikisha demu wako kihisiaMuda si mrefu nimeombwa kubadilisha mtungi wa gesi, kwenda kesho saluni kusuka rasta, wiki iliyopita kodi iliisha nikamlipia ya miexi 6, nyie acheni tu.
Ngoja nirudi nyumbani kwa shemeji yenu.