Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Kwanza unakuwaje na mwanamke hawezi hata kujihudumia bana acha kudate na broke expensive malaya.
 
na wewe ni mswahili pia ndio mnaofanya mapenz yawe ya upande mmoja
Kwani ndugu na wewe hakuhudumii??? Point yangu hapa ni kusaidiana na kama yeye ana uwezo wa kukusaidia anapswa kukusaidia ila sio uwezo unao wa kumsaidia na unakuwa humsaidii unahis hapo unakuwa sawa?
 
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Ndio mwanaume unapaswa kumuhudumia mwanamke wako kifedha, kimali, muda wako, na nafasi yako. 'To love is to give'. Utajiskiaje ukigundua kuna mwanaume mwengine anampa hela mara kwa mara? Mpe kulingana na uwezo wako hata kama hitaji lake hali maana kwako! Muhudumie! Na usifikiri kumuhudumia ni mupa hela nyingi. Uwe unampa hela ya kila week na kila mwezi maana wana mahitaji muhimu kama salon, mavazi, vipodozi, chakula, nauli nk. Be gentlemen
 
Ni kweli mkuu
vijana wanapenda kugonga ila siyo kuhudumia
 
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Ukumbuke pia upande wa pili kuwa walikuwa wanahudumia mke sio gelofrend
 
Muda si mrefu nimeombwa kubadilisha mtungi wa gesi, kwenda kesho saluni kusuka rasta, wiki iliyopita kodi iliisha nikamlipia ya miexi 6, nyie acheni tu.

Ngoja nirudi nyumbani kwa shemeji yenu.
HApo ningekimbia kama panya akisikia saut ya nyauuu
 
Ndio mwanaume unapaswa kumuhudumia mwanamke wako kifedha, kimali, muda wako, na nafasi yako. 'To love is to give'. Utajiskiaje ukigundua kuna mwanaume mwengine anampa hela mara kwa mara? Mpe kulingana na uwezo wako hata kama hitaji lake hali maana kwako! Muhudumie! Na usifikiri kumuhudumia ni mupa hela nyingi. Uwe unampa hela ya kila week na kila mwezi maana wana mahitaji muhimu kama salon, mavazi, vipodozi, chakula, nauli nk. Be gentlemen
Ni mkeo au hutaki kufanya investment ya pesa yako. Sielewi, zamani hata ndani ya uchumba hakuna kugusana wala kumhudumia nani wala nani mpaka uoe. Sasa kipindi hiki ambacho watu huanzisha mahusiano leo na kuvunjika kesho ndio useme uinvest, kama ni sex nitasubiri ndoa, sifi.
 
Ndio mwanaume unapaswa kumuhudumia mwanamke wako kifedha, kimali, muda wako, na nafasi yako. 'To love is to give'. Utajiskiaje ukigundua kuna mwanaume mwengine anampa hela mara kwa mara? Mpe kulingana na uwezo wako hata kama hitaji lake hali maana kwako! Muhudumie! Na usifikiri kumuhudumia ni mupa hela nyingi. Uwe unampa hela ya kila week na kila mwezi maana wana mahitaji muhimu kama salon, mavazi, vipodozi, chakula, nauli nk. Be gentlemen
Ntawaua wote!!
 
Back
Top Bottom