Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
😂😂 sasa mimi hao watakao wajudge mimi sitowahukumu maana ni opinion yao na wamefanya hivyo kulinda akili na amani yao moyo. Actually na pamoja na uwezo wakuimarisha uchumi. It's there opinion, hao watoto wangu wakike nitawalea wakue kimaadili na kujitegemea ila swala la kupata mwenza halipo mikononi mwangu aisee. Maana najua niliyopitia hivyo sitawahukumu hao vijana hata chembe.Hata ss mama zetu walitulea vyema. Ubaya hatukutoka tumbo moja mpaka uweze kuelewa. Mama yako pia ana mama yake ambae alimlea hvyo unavyoona bora. Ombea na uzazi wako watt wako wa kike wasije ambiwa wa hovyo na wanaume watakaowaona huko mbeleni kaka