Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?

mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Umuhudumie mwanamke kwani ni mlemavu wa akili au mwili??!! Hudumia watoto na wazee, ukiona mwanamke anadai huduma ujue huyo yupo ktk BIASHARA YA NGONO kajificha ktk KICHAKA CHA MAPENZI, kama unamnunua sawa endelea, ila kumbuka siku ukipungukiwa hakuna penzi, wanawake wa kuhudumia ni wale wamama wa nyumbani per se, anakupikia na kukufulia 24/7, siyo hawa wa 50/50.
 
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Jiulize apart from sex what else can you offer kwa hao wanaume ili wakuhudumie.....😆😆😆😆
 
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Usisahau pia wanawake wa zamani kwenye shida na raha atakuwa na wewe leo hii mwanaume mambo yakiyumba kazini umefukuzwa tayari hapo hakuna ndoa ishu kubwa wanawake wa sasa hamna uvumilivu mwanaume anathaminika mpaka awe na hela na ndio maana siku hizi wanaume tumekuwa makini sana swala la ndoa
 
Mapenzi sio ajira,

Kufanya mapenzi ni kama kula chakula,

Kula chakula sio ajira,

Kila mtu bila kujali jinsia ameagizwa kufanya kazi .

Vitabu vitakatifu viandika hivyo.

Imeandikwa; “Asiyefanya kazi Na asile”

Imeandikwa “ kila mtu na ale kwa jasho lake”

Wanawake waambie tangu wadogo wabadili mindsets zao za kutegemea K (kuolewa ili kujikwamua kimaisha) au kudanga kutegemea kuishi kwa kupewa hela na mabwana .

Kila mwanamke ajue anatakiwa kufanyakazi halali ya kumwingizia kipato.
 
Tangu enzi za mababu na mabibi mwanamke na Mwanaume wote walikuwa wanafanyakazi,

Kama ni kulima wote mwanamke na Mwanaume walikuwa wanawajibika katika kuleta riziki ya familia,

Tena mwanamke mbali na kulima akitoka shamba kuni kichwani, dumu la maji, mtoto mgongoni mimba tumboni,

Hapa kazi tu.

Na actually ni nature hata wanyama mbughani akiwemo Simba Mfalme wa Pori anaeleta mkate nyumbani ni mke/wake.

Na Simba anamatala.
 
Zamani kigezo cha binti kuolewa ilikuwa ni chapakazi asiye mvivu kigezo kimojawapo.

Anajua kupiga jembe.

Hakuna lele mama.

Sasa siku hizi wanawake wanataka kuwa na house girls, washing machines, wao wafanye kazi ya kupaka rangi kucha, kupaka meckups, kuvaa kuvaa ma wigi basiiii[emoji108][emoji108]

Sasa Fanya hayo ilihali unakazi yako inaingiza kipato cha familia kinachoonekana na kupimika lakini huna halafu unataka hela?

Kufanya mapenzi sio kazi.
 
Usisahau pia wanawake wa zamani kwenye shida na raha atakuwa na wewe leo hii mwanaume mambo yakiyumba kazini umefukuzwa tayari hapo hakuna ndoa ishu kubwa wanawake wa sasa hamna uvumilivu mwanaume anathaminika mpaka awe na hela na ndio maana siku hizi wanaume tumekuwa makini sana swala la ndoa
Sasa kuna tofaut kat ya mwanamke mwny stara zake na mdangaji. Huwezi pata mwanamke wa shida na raha unayemhudumia vyema akakuacha wakati wa shida
 
Back
Top Bottom