Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ngoja nikupe story fupi ya maisha ya mwanamke, hasa upande wa mahusiano.

Unapokuwa binti/kigoli hapo utafatwa na wanaume wa rika tofauti ambao ni wakubwa au sawa na wewe. Ukipevuka vizuri, utaanza kupigiwa miluzi na wale wa rika lako. Unapofika 30's utakuwa unapigiwa miluzi mingi na waliokuzidi sana umri (wababa). Unapogonga mid to late 30's hapo utaanza kuzongwa zongwa na uliowazidi sana umri.
 
Wabongo wanapenda kushindwa kwenye social media tu bila kujalisha wanafaidika moja kwa moja na hizo media au la.

Hao unaposema wanauelewa mkubwa hapa JF, kuelewa wai umeupima kwenye jambo gani? Hivi unajua kama 75% ya wanaJF wanashinda MMU? Chagua ID 10 za kike unazoamini kuelewa wao ni mkubwa hapa JF kisha anza kuwafuatilia majukwaa wanayoshiriki, utakuta wanaangukia kwenye JF social lounge. Sehemu zenye hoja critical huwakuti. So mkuu kuwepo jf sio kipimo sahihi. Nina watu wengi ambao nawafahamu, wanaijua JF lakini sio member na hawajawahi kujiunga.
 
Hizi tabia za kudeka deka na ulalamishi ndizo zimetufikisha kwenye hii shughuli ya kuwa na wanawake wengi walioanza kuingia uzee na hawana direction nzuri ya mahusiano na familia.

Furaha yako au huzuni yako haina umuhimu mbele ya ustawi wa jamii. Kasi ya wanawake wanaopoteza muda kupata watoto, hawaoleki, wanasoma ila wanaishia kuwa broke and jobless na kuishia kuwa single mothers ni matokeo ya kufuata fikra kama hizi zako.

So mwanaume anapotoa maelekezo na direction sio swala la kubishana ni swala la kuelewa na kucomply. Haya mambo ya kubembelezana tunaangamiza taifa letu.

Masingle mother wanaongezeka, watoto wao ni product mbovu kabisa ya watoto kimakuzi, maadili yanapiromoka. Hizo elimu zenu zina impact gani kwenye level ya taifa zaidi ya sifa za kusifiana tu hebu tuseme ukweli.

So wewe kama unaona furaha ya mwanamke kwa kuweka goals zake mbele kuliko goals za jamii ni muhimu then think twice.
 
Aisee kume 30s ni third floor 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee sasa tufanyeje tusio kuwa na mke wala mtoto
 
Itashindikana kama unaishi mwenyewe, no help, hauna sababu ya kurudi unaiga au unafanya basi tu. But kama una pursue elimu ambayo inakuwa na impact kwenye maisha yako na sio tu elimu status, unaonenaka ni mwanamke unayejitambua so mumeo lazima atakupa support, upo sharp, unafanya mambo kwa utaratibu na kusikilizana na mumeo why ishindikane?

Nenda humo vyuoni katazame kutoka diploma ,degree na masters class mbona wadada wapo wengi tu aisee.
 
Muda wako ukifika utapata familia,
Ondoa hofu, Muamini Mungu.


Hapo ukijichanganya tu my dear utaishia usingle mama ambao ni stress mara mbili zaidi ya kuwa single.
 
Ni kweli unachosema wapo watu wana inferiority complexity na huwezi tumia nguvu nyingi kuwabaini maana madhaifu yao yanaonekana wazi wazi.

Ila kiuhalisia kwasasa tuna tatizo la wanawake wanaochanganya vitu. Wanahisi wana confidence ya maamuzi ila actually wana operate na arrogance, wanahisi ni majasiri ila kiuhalisia wanaoparate na overly inflated Ego, wanahisi wanaishi na wanaume kwa upendo ila si kweli wanaishi nao kwa tamaa za mahitaji yao.

Wanaume tunaona mengi sana kwa wanawake hadi kufika hatua ya kukaa pembeni na kukubali yaishe.

Sidhani kama wanawaume atakutana na mwanamke atakaemvutia halafu aanze tu kumdogosha bila kuwa na sababu.

Sijui kama unafuatilia mambo yanayotokea kwenye jamii lakini.
 
Kuna vitu haviwezi kubadilika. Kwenda shopper kuna husiana nini na kuheshimu mwanaume au kupenda mke.
 
Nipo 32 sina mtoto wala family nadunda tu.....walio wengi 30 afu hawana family ni wasomi wengi wao ....wanakua too selective....
 
Nimekusoma mkuu, pia nafuatilia yanayoendelea kwenye jamii lakini huwa nayaangalia katika jicho la kutokuwa bias...

Na ukweli kuna contradiction kubwa sana ndio maana watu wanauana. Kuna wanawake wanaamini ili kuonekana independent hawapaswi kuwa submissive kwa waume zao na kwa wakati huo huo, kuna kundi kubwa la wanaume tumelelewa ili kuja kuoa traditional women au housewife ambao kutokana na utegemezi, huwa submissive na wavumilivu kupita kiasi hata kwa madhaifu ambayo kiuhalisia walitakiwa kuondoka

Sasa mwanaume wa kariba hii ukutane na mwanamke independent ambaye hakutegemei kifedha zaidi ya kutaka kujenga familia, hivyo lazma conflicts zitokee unless yale ya mwanamke aache kazi yatokee au mwanaume akubali kupunguza expectations ili amuone mwenza wake kama patner na sio kama asset au ng'ombe alioitolea mahari ambayo haitakiwi kuwa na opinion wala ambitions zaidi ya kumuona yeye kama centre ya maisha yake, kitu ambacho ni nadra kutokea.

Kiufupi ni traditional man VS traditional women 😁
 
Wahaya utawajua tu na tambo zao irrelevant, kulikuwa na haja gani ya utambulisho wote huo? Sema siyo shida yako nature yenu ni kwamba hamuwezi kwenda straight to the point hadi mtie wasifu kidogo#no offense jus Peace out[emoji4]
 
Mzee uwezo wako kuchanganyua hoja mdogo au just umemua kutokuelewa.

Talking JF members hata huyo anayetumia JF as Guest ni JF members nayemzungumzia hapa na yeye anaingia that common sense...Mosi.

Pili wewe una base kupima uwelewa wa JF members hoja ni mwanamke anayetumia JF na asiyetumia JF chukka huku 20 na chukka huku 20 wapi una bet wana uelewa is that need a rocket science to get the point.
 
Inafikirisha sana🥺🥺

financial services kunawatu wanaletaga uzi huku kutafuta mke vipi hujawahi kuwafikiria kama mnaweza fanya kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…