Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 147
- 422
Ngoja nikupe story fupi ya maisha ya mwanamke, hasa upande wa mahusiano.
Unapokuwa binti/kigoli hapo utafatwa na wanaume wa rika tofauti ambao ni wakubwa au sawa na wewe. Ukipevuka vizuri, utaanza kupigiwa miluzi na wale wa rika lako. Unapofika 30's utakuwa unapigiwa miluzi mingi na waliokuzidi sana umri (wababa). Unapogonga mid to late 30's hapo utaanza kuzongwa zongwa na uliowazidi sana umri.