Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Kuna vitu haviwezi kubadilika. Kwenda shopper kuna husiana nini na kuheshimu mwanaume au kupenda mke.

Ukiona mwanamke hakuheshimu basi ujue shida ni ww mwanaume ila because ww ni mwanaume uwezi kujiuliza ndio tatizo linaanzia hapo

Mwanamke ni kama Kioo, ukicheka kinacheka ukilia kinalia

Wanawake wa zaman hata ukizaa nje walikuwa hawana shida, wanabeba Mtoto anatulia

Mwanamke wa sasa ukizaa nje basi ujue mimba ijayo sio yako
 
Umeongea uhalisia mtupu, from my experience mpaka leo hii nimeshindwa kupata mke wa kuoa sio kama hawapo, lkn imekuwa kama ile kutafutana kwa kuviziana, pia machaguzi yamekuwa kikwazo, unaweza kupata mtu wa uhakika wa kuoa/ kuolewa lkn nyodo zako zikampeperusha, tusichague sana
 
Facts
 
Kama shule haipandi kuna skills kibao za kujifunza sio lazima ushinde ofisini. Unakuta kijana analalamika hakuna ajira hata kufuga kuku hajui. Dunia ya leo utakula, utalipwa na utaheshimiwa kwa lipi kama hauna skills. Lakini kusema shule haipandi napingana nalo kwa sababu hio. Hakuna binadamu ambae akili yake haiwwezi kujifunza kitu kipya ndio maana kila mtu anaweza kwenda chooni mwenyewe, na pia naweza kumbatona na kula. Kama uliweza ukajifunza hivi vitu hauwezi kushindwa kujifunza taaluma mbalimbali za maisha. Vilevile kuna scholarship nyingi sana tumepewa watanzania hatuzitumii. Maisha yapo easy sana ukiwa na elimu. Elimu ni ngumu na si lele mama, lakini ukishaelewa na kujua kuitumia maisha yanakuwa marahisi sana.
 
 
Na hamu Sana ya kuingia 3rd floor naisubiri Kwa hamu kubwa
 
Hawa wanawake wanaoolewa kwenye 30's huwa wanaolewa Na wanaume wa umri gani
 
Hilo zigo lend sisi halituhusu hauna maadili utajioa hakuoi mtu
Amka mkuu zama za kuwatishia wanawake ndoa na kuitumia kama fimbo ya kuwachapia zinaelekea ukingoni wanawake siku hizi wameshaacha kutafuta furaha kwa wanaume wanaipata kwa watoto wao, fuatilia siku hizi wanawake kuwa single mothers imeshakuwa fashion wengi hawajali tena kuhusu matusi wanayotukanwa na 'jamii' (ambayo actually ni wanaume), matokeo yake wewe usipooa humkomoi mtu endelea kununua malaya fainali uzeeni mwanamke atabaki na watoto wake wewe utabaki na malaya wako
 
Life begins @ 40.
Hii ina apply kwa wenye familia tu kama huna.

Unakuwa jitu la hovyo na lisilojielewa.

Mtu huna mke, mtoto wala familia in your 40s nje ya kuwa binadamu kama binadamu wengine una kitu gani cha kuonyesha na wewe kama ni mtu wa maana ?
 

They love being single mothers?[emoji848]
 
[emoji38][emoji38][emoji38] sasa kama unakuja na gia za kihuni kwanini usiulizwe hata sisi tunajuaga mwanaume serious

Hivi unakuta mtu anakutafuta halafu yupo kihuni si lazima uhoji
Hakuna Cha gia za kihuni, utakuta kukufata kistaarabu, ila sababu humtaki tu huyo mwanaume, kumkomoa ndo unamuuliza namba yako ametoa wapi mamamzungu
 
Mwanaume timamu akifika 30 tu bila mtoto akili inamcheza labda useme kupagawa kunatofautiana mwanamke anapagawa sana ila hakuna binadamu ambae akili haimchezi
Sure huwezi kuwa mwanaume mwenye akili timamu na uko sawa kiafya ufike 40 huna mke huna watoto.

Unakuwa jamaa la hovyo.
 
Na mimi bado dakika kadhaa niiguse 30, sina ndoa, sina mtoto, sina demu wa maana huu mwaka nimedhamiria kumzalisha mtu aisee maana sio poa....
Hauko peke yako Mkuu....si kila familia Ni za kuunganisha nazo damu unapozaa Na MTU unakua umunganisha Damu Na yeye kupitia mtoto.......ni vyema upate watoto Na Mtu sahihi mkishaoana
 
Hela zipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…