Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ni kwa njia gani ke anaweza kuinitiate ndoa mkuu
 
Ungeanza kwanza kuhoji kazi ya akili ya wanaume wanaopanga msururu kabla ya kuhoji ya wanawake
Hapa hujanielewa na hili ni tatizo lenu pakubwa sana, kazi ya akili kwa mwanaume na mwanamke ni Ile Ile.

Mwanaume akikosea wewe hupaswi kukosea. Ndio maana nikakuuliza kazi ya akili yako wewe ni ipi ? Ulitakiwa ujue ya kuwa mwanaume kupanga msururu ni kosa na wewe kuwapanga msururu ni kosa. Hii imepelekea nipate wasi wasi juu ya uwezo wako wa akili na kuyang'amua mambo.
 
Ni kwa njia gani ke anaweza kuinitiate ndoa mkuu
Ke wengi wanatoa ultimatum, "tumekuwa na urafiki kwa mda fulani, kama haupo tayari kwa ndoa mimi siwezi kuwa na wewe tena"!

Kwa kauli hii kama Me anamhitaji lazima achukue hatua....
 
Lazima ujiulize sababu kwanini mwanamke anapanga msururu, siyo kila kosa analofanya mwanamke basi mnadhani ni kwa ajili ya kumlipizia mwanaume tu, mimi nimesema mwanamke anapanga msururu kwa sababu akiwa na mmoja anakuwa hana uhakika kama ataolewa na huyo
 
Ke wengi wanatoa ultimatum, "tumekuwa na urafiki kwa mda fulani, kama haupo tayari kwa ndoa mimi siwezi kuwa na wewe tena"!

Kwa kauli hii kama Me anamhitaji lazima achukue hatua....
Haya unakuta mwanaume alikuwa na wanawake labda watano na wote wamemuambia hivyo, tuseme akaamua kuchagua mmoja akamuoa hao wengine wanne akawaacha niambie wanafanyeje, je kila mmoja wao angekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja hapo wasingeongeza chances za kuolewa mkuu
 
Sawa umekubali nilichokiuliza ni sahihi ? Kama ni sahihi swali lako linakuwa halina maana.

Kama sio sawa itabidi uthibitishe kisha nikujibu swali lako.
Nithibitishe nini jibu swali acha kuzunguka, mimi hakuna mahali nimesema kwamba madhara lazima yawe physical tu ila mimi nilitaka tu anitajie madhara physical, sasa kwa kuwa wewe umekuja na hiyo hoja ya kwamba madhara si lazima yawe physical basi yataje hayo ambayo siyo physical
 
Hii comment ingewezekana ukaitengenezea uzi kabisa maana ni zaidi ya madini. KUDOS brother!!
 
Ahsante sana mkuu, ushauri huu umenipa nguvu👏 ubarikiwe
 

Angekuwa binti yako ungemshauri hivyo?
 
Hili pia ni kosa kama ulivyo taja sababu nyingine niliyokujibu ya kuwa kuwapanga msururu ni kutokana na sisi kuwapanga msururu.

Kutokujua kwako nani atakaye kuoa ni uchache wa maarifa katika suala la yupo uwe nae na ni wakati gani uwe ndoani.

Mtu makini habahatishi, sababu unaweza kuwa na wengi ukapata hasara zaidi usiolewe hata na mmoja, na heshima yako ikashuka kwa mengi.

Na unaweza ukawa na mmoja na ukaolewa nae bali unaweza usiwe na mmoja ukampata huyo mmoja na akakuoa huyo huyo.
 
Una umakini mdogo sana, ulipaswa wewe ujibu swali langu kwanza lakini huku fanya hivyo.

Nimekujibu swali lako ajabu umesahau ya kuwa ulipaswa ujibu swali langu kwanza. Soma vizuri mtiririko mpaka tumefikia hapa.

Kama hujasema kwanini unadai nazunguka na jibu nimekupa ? Kama huelewi ninacho kiandika ni bora ukauliza.
 
sasa kwa kuwa wewe umekuja na hiyo hoja ya kwamba madhara si lazima yawe physical basi yataje hayo ambayo siyo physical

Ngoja nikusaidie, suala la mwanamke kuwa na Wanaume wengi, Lina madhara kimaana kwa kimaada na madhara kihisia.

Umbile la mwanamke hamliruhusu kuwa na uhusiano na mwanaume zaidi ya mmoja, lazima atachakaa tu. Huwezi kupata maji ya glass nne tofauti yaliyomiminwa kwenye sufuria moja, kama yalivyo kuwa kabla ya kumiminwa.

Hasara nyingine ya kimaada ni kwenda kinyume na ada na desturi, kudhalilika na kudharauliwa na jamii.

Hasara nyingine chukua muda wako kutafakari utaziona sababu ziko wazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…