Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Pamoja na masimango yote kwenye comments na dhihaka Dada financial services ameendelea kujibu kwa utulivu bila jazba wala matusi,anastahili pongezi .

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Ahsante sana mkuu,

Niliona ili nipone inabidi uwe tayari kunywa dawa zote either chungu or tamu, nimechagua kupokea maoni yote positively.

Kuna comments zinaumiza moyo, ila ndiyo ukweli mchungu.

Nawashukuru wote kwa kutenga muda wenu kuniandikia neno lolote, binadamu hatujakamilika, nna mapungufu kibao hivyo nazidi kusoma na kujifunza zaidi. Muwe na asubuhi njema.🙏
 
Response zako hazifanani kbsa na mtu anaweza fika floor ya 3 bila kuchukuliwa ,utulivu ni mwingi sana, naamini kbsa uliandika ili watu wajifunze
Lakini kwa vyovyote ,tunakuombea heri upate hitaji lako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hoja zako zimejikita katika haya maneno "unaweza uka- na bado uka-" na mtu ukishatumia haya maneno basi ujue hiyo ni betting tu na si uhakika, hivyo wanaotaka kuwa na mwanaume mmoja wawe naye na wanaotaka kuwa na wengi wawe nao pia, kwa sababu kuwa na mwanaume mmoja bado ni kubet tu hakujampa uhakika mwanamke kuolewa na huyo
 
Huyu ni wife material kabisa.
 
mi niko na 25 mwaka huu naingia 26,sina mtoto ,sina mke .

mchumba ninaye ,tuna miaka 3 kwenye uchumba na nilimkuta bikra, yuko poa kabsa sijaona madhaifu makubwa kwake,yeye anautafuta mwaka wa 22.


sina stress kuhusu familia,ila mwishoni mwa mwaka huu naweza nikaoa

kinachonisubirisha tu nina madeni ya watu napambana nilipe ,nikimaliza ntakuw huru kuanzisha familia.

kuna muda natamani niwe na mtoto wa nje ila nakumbuka nimelelewa katika dini na wazazi wawili naamua kutulia tu.
 
Life yote ni kubet tuu...wee jilipue kwa kkdume mmoja basi
 
Life yote ni kubet tuu...wee jilipue kwa kkdume mmoja basi
Sasa kama kila kitu ni kubet kwanini umpangie mtu sehemu ya kubet, acheni wanawake wajiamulie anayetaka kuwa na mmoja sawa na anayetaka kuwa na wengi sawa, kama wote wenye mwanaume mmoja wangekuwa wanaolewa na wote wenye wanaume wengi wangekuwa hawaolewi basi kila mwanamke anayetaka ndoa angekuwa na mwanaume mmoja tu
 
Hili sasa ndio neno maana kila mtu awe na uhiru wakuchanganya atakavyo
 
Bibie mbona unahamisha goli ? Wakati kubahatisha umekuonyesha wewe na nimekukosoa na nikakwambia mtu makini habahatishi ?

Kwanini husomi kwa kuelewa na kutunza kumbukumbu ?

Kubet kutakuja pale ambapo hutafata misingi sahihi ya kumpata mwenza wako. Sisi tumepita huko na Tunaendelea kuoa, na hatubahatishi katika hilo sababu tunatanguliza elimu kwanza na so si hisia.
 
Sasa mfano hayo masuala ya kuchakaa sijui maumbile yanapimwaje, na mnatumia vigezo gani kujua huyu mwanamke kachakaa kwa sababu ya kuwa na wanaume wengi, na je ni kwa misingi gani tunaweza tukasema hayo ni madhara ya moja kwa moja kwa mwanamke
Tunaitumia uhalisia na milango ya fahamu. Onyesha hapo lipi lakufikirika ?
 
Na kuhusu heshima unaipimaje hebu niambie mwanamke mwenye mwanaume mmoja anapewa heshima gani, ambayo mwanamke mwenye wanaume wengi anaikosa, nitashukuru kama utanijibu maswali yangu kama nilivyouliza
Kumbe hujui unachokijadili bibie ? Ina maana hata uhalisia huujui.

Angalia uhalisia utaona, mwanamke kuwa na wanawaume ni habari na si jambo la kawaida sababu linapingana na asili, asili ambayo ndio uhalisia. Ukisoma nilichokiandika huko juu vizuri ?

Uzuri nakujibu maswali yako kama unavyo uliza, shida yako ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.
 
Mkuu hapa naongelea kwa mwanamke na siyo mwanaume, kwenye jamii zetu mwanaume ndiye anayeamua ndoa na si mwanamke, sasa kama mwanaume labda ana wanawake watano halafu akaamua kuoa mmoja wanne akawaacha unategemea hao wafanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…