financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #781
Ahsante sana mkuu,Pamoja na masimango yote kwenye comments na dhihaka Dada financial services ameendelea kujibu kwa utulivu bila jazba wala matusi,anastahili pongezi .
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Niliona ili nipone inabidi uwe tayari kunywa dawa zote either chungu or tamu, nimechagua kupokea maoni yote positively.
Kuna comments zinaumiza moyo, ila ndiyo ukweli mchungu.
Nawashukuru wote kwa kutenga muda wenu kuniandikia neno lolote, binadamu hatujakamilika, nna mapungufu kibao hivyo nazidi kusoma na kujifunza zaidi. Muwe na asubuhi njema.🙏