Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Hivi unaposema mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari umamaanisha kwenye jamii gani na uhalisia upi, mbona kwenye jamii za wazungu mwanamke kuwa na wanaume wengi siyo habari na inaonekana kawaida tu, mkuu ninaposema madhara nataka unitajie madhara kwa wanawake wote duniani na siyo wa jamii fulani tu hapa naomba tujitahidi kuwa objective badala ya subjective
 
My sister Jadda natamani siku moja nikuone personal.
Maana huu mjadala, una sumbua sana.
 
Usingizi wanapata ndio, na ukiangalia siku hizi wanaume ndio wanaumia sana na suala la wanawake kuchelewa kuolewa kuliko wanawake wenyewe, sijawahi kukuta uzi wanawake wanawasema wanawake wenzao waliochelewa kuolewa ila kutwa wanaume ndio wanalisemea hilo suala lazima kuna sababu wengi wasiyoijua
 
Haha na kwanini unataka unione personal mkuu
Mkuu katika majadiliano ya hoja, Kuna vitu mfano body language.
👉 Hivyo vitu vina matter Sana, huwa vina onyesha mengi kuhusu mtu.

Maana USI kute nje ya jf ni mkimya na mpole,
👉Ila hapa una tusulubisha😀, kingine huu msimamo wa mwandishi ( Jadda) una nifanya niwaze mengi.
👉Vipi Kama na matendo au uamuzi ni sawa ??
 
Hahaha mkuu misimamo yangu ni hii hii hadi nje ya jf, hapo kwenye matendo ndio sijaelewa umemaanisha yepi, ila kwa kifupi tu kuna watu nafahamiana nao nje ya jf wananijua vizuri mimi ni mtu wa aina gani
 
Hahaha mkuu misimamo yangu ni hii hii hadi nje ya jf, hapo kwenye matendo ndio sijaelewa umemaanisha yepi, ila kwa kifupi tu kuna watu nafahamiana nao nje ya jf wananijua vizuri mimi ni mtu wa aina gani
Namaanisha matendo yako ya maisha, isije kuwa huna huruma na watu walio kinyume na wewe..

Kuna Jamaa yetu hapendi mziki, Basi ana chukia watu wote wasio penda muziki.
 
Wanaobishana na huyo hawamjui. Watakesha. Hiko kifaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…