Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hivi unaposema mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari umamaanisha kwenye jamii gani na uhalisia upi, mbona kwenye jamii za wazungu mwanamke kuwa na wanaume wengi siyo habari na inaonekana kawaida tu, mkuu ninaposema madhara nataka unitajie madhara kwa wanawake wote duniani na siyo wa jamii fulani tu hapa naomba tujitahidi kuwa objective badala ya subjectiveKumbe hujui unachokijadili bibie ? Ina maana hata uhalisia huujui.
Angalia uhalisia utaona, mwanamke kuwa na wanawaume ni habari na si jambo la kawaida sababu linapingana na asili, asili ambayo ndio uhalisia. Ukisoma nilichokiandika huko juu vizuri ?
Uzuri nakujibu maswali yako kama unavyo uliza, shida yako ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.