Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mkuu umeongea vizuri sana, yamkini binti unahangaika kwasababu kuna kijana honest uliwahi kumnyanyasa kisa hana pesa. Karma is real, vile vile mnavyosemaga machozi ya mwanamke hayaendi bure the same happens with vijana, ni vile tu hua tunalilia ndani ya mioyo yetu. Lkn trust me vijana wengi waaminifu wametendwa na Mungu hua anaingilia kati. Mtafute myajenge, ao omba Mungu akusamehe

Lakini kitu kingine ni nguvu ya maneno yako mwenyewe. Kuna baadhi ya mabinti hupenda kutumia viapo bila kujua madhara yake baadae. Mfano unatongozwa na mtu halafu unamjibu "over my dead body siwezi kua na mtu kama ww" ,
"Siwezi mkubalia labda nikiwa kaburini" na mengine yanayofanana na hayo. Yamkini hukua na maana hio 100% ila as long as ulitamka they will haunt you in a way, na utakuta wakati unahitaji hata mwanaume uliekua unamchukulia poa nae humpati..

Maisha yanakua a series of misery, unakimbilia kwa manabii fake mwisho wa siku unakua dame wa manabii.
 
No comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…