Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Ooh jmn
 
Usijali tukaribiane tujenge familia. muda bado unaruhusu. Pm tu. Ila msichague sana. The grass is always greener where you are . Nje ni ilusión tu.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Acha kuwajibisha wanaume hovyo watakutumia na kusepa wanaume akikuta sehemu anaheshimika na kupewa nafasi yake mamaangu anaweka kambi ya kudumu kirahisi sana.
 
Bado tu...? hii mbona hatari sana si unaitafuta 35+ now.
 
Hapa nilipofikia nahitaji assist yenu peke yangu siwezi tena, ila wewe siyo mhenga mwenzangu unanichora tu hapa kabinti kabichii
Test kwanza mtambo kama unawaka.. ila usikosee hesabu ukawa single mama, misha ni kuchagua tu. Wazazi wetu walitukalilishaga kwamba ukiwa na age flani lazima uwe mtoto au familia.. kula vizuri jipe raha kwa mambo yanayokufurahisha.. inatosha hayo mengi ni neema za Mungu tu
 
Bado mtoto mdogo sana
Bars ulizoweka na malengo, inawezekana vimekufikisha hapo ulipo.
Ila relax bado una kama miaka 3, ukifikisha huko sasa ndio una haki ya ku panick utakuwa mshangazi official, maana sasa hivi ni upcoming😁
 
bila kupepesa macho! mwanamke mwenye 30+ kama haujaolewa, umeshaCHELEWA sana tena sana, hakuna kuremba mwandiko huo ndio ukweli. umri wa mwanamke kuwa kwenye CHART za juu ni kuanzia, miaka 18-22 tu, 23-29 ni kuolewa, 30+ ni mke wa mtu(mama wa FAMILIA). inaonekana ww ukiwa ktk UBORA wako ulikua unaRINGA sana kwakua ulikua na maCHAGUO mengi kupita kiasi, sasa imekula kwako. nakushauri tu km dada yangu KUBALI YAI$HE usiwe unaringa sana, penda kujichanganya ktk mambo mbali mbali ya KIJAMII utampata MUME wako wa maisha. nakuombea upate mwenza bora, japo sikufahamu.
 
Back
Top Bottom