King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwenye maisha hakuna kuwahi wala kuchelewa ,muda sahihi ukifika utapata mahitaji yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh jmnHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Nikiskia hivi ndiyo nazidi kuchanganyikiwa mkuu, usiseme hivo jamani🙄🙄Dah...imebakia miaka 15 mto ukauke...vp ushapata chimbo?
🤣🤣🤣Nikiskia hivi ndiyo nazidi kuchanganyikiwa mkuu, usiseme hivo jamani🙄🙄
Sa mbona unajichelewesha? Ni shule au bado unajitafuta??Nikiskia hivi ndiyo nazidi kuchanganyikiwa mkuu, usiseme hivo jamani🙄🙄
Utapata tu mamii..sikukatish tamaa...c kwako tu hata sie hali ni hyo hyoNikiskia hivi ndiyo nazidi kuchanganyikiwa mkuu, usiseme hivo jamani🙄🙄
Usinicheke jamani, uzee umenifika mapema shaa, sielewi😀
Nyie hamna shida hata at 50yrs unaweza oa tena kabinti kabichii, sisi unachakaa hadi unatokeza mapengo nani atakubali😒Utapata tu mamii..sikukatish tamaa...c kwako tu hata sie hali ni hyo hyo
Shule haikunizuia kihivyo, sijui tu sielewi yani🙄Sa mbona unajichelewesha? Ni shule au bado unajitafuta??
Usijali tukaribiane tujenge familia. muda bado unaruhusu. Pm tu. Ila msichague sana. The grass is always greener where you are . Nje ni ilusión tu.Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Acha unafiki FinaUsinicheke jamani, uzee umenifika mapema shaa, sielewi😀
Unafki how G, nishazeeka mimi🙄Acha unafiki Fina
Acha kuwajibisha wanaume hovyo watakutumia na kusepa wanaume akikuta sehemu anaheshimika na kupewa nafasi yake mamaangu anaweka kambi ya kudumu kirahisi sana.Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Hebu acha masihara tafuta mtoto wa mtu hapo ujiweke tuje kucheza kwaito wahenga wenzio 😹😹😹Shule haikunizuia kihivyo, sijui tu sielewi yani🙄
Hapa nilipofikia nahitaji assist yenu peke yangu siwezi tena, ila wewe siyo mhenga mwenzangu unanichora tu hapa kabinti kabichiiHebu acha masihara tafuta mtoto wa mtu hapo ujiweke tuje kucheza kwaito wahenga wenzio 😹😹😹
Test kwanza mtambo kama unawaka.. ila usikosee hesabu ukawa single mama, misha ni kuchagua tu. Wazazi wetu walitukalilishaga kwamba ukiwa na age flani lazima uwe mtoto au familia.. kula vizuri jipe raha kwa mambo yanayokufurahisha.. inatosha hayo mengi ni neema za Mungu tuHapa nilipofikia nahitaji assist yenu peke yangu siwezi tena, ila wewe siyo mhenga mwenzangu unanichora tu hapa kabinti kabichii