financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
-
- #1,281
Wewe umeshawahi kunitongoza humu hadi usiamini kama sitongozwi na hao wengine wa humu pia?Mmh dadaangu hamna mwanamke ambae hatongozwi hata wale wabovu kuna wanaume wanawachombeza sana tu ondoa hiyo dhana akilini kila mwanamke anatongozwa bibie.
N.b kwani JF hujawahi tongozwa!?
Na miezi juu aisee jibu zuri😀😀55 na miezi mitatu bro nimekula chumvi hadi nkawa salt yani 😹
Wait kwan mbona kule selfika niliona fresh tu unavutia. nadhani muda tu utapata mrembiNoo nakataa ,sitongozwi sababu nadhani ya mvuto(sifuri)🤔
SISI SIO WA KWANZA NA HATUTAKUA WA MWISHOTushachukulia tu poa.
Hamna namna mana changamoto za uchumi zimetuandama mpaka familia unaona nayo ni changamoto... kikubwa tunaishi maramoja! Hatuwezi kuishi tuminamisha vichwa kwa sonona kisa hatuna familia.. sisi sio wa kwanza na hatutakua wa mwisho.
Tuishi humoSISI SIO WA KWANZA NA HATUTAKUA WA MWISHO
Hongera mkuu, inaonesha unajitambua sana.
Ndo nini mkuu sijakuelewa!!Miaka 30 haina changamoto ktk uzazi labda uwe umejiharibu na ma p2
Acha nitest mitambo, nione kama bado nakumbuka kushusha mistari.Wewe umeshawahi kunitongoza humu hadi usiamini kama sitongozwi na hao wengine wa humu pia?
Sawa mkuu, kwenye issue serious umekuja kukumbushia mitongozo, naweza kuwa ni ndugu yakoAcha nitest mitambo, nione kama bado nakumbuka kushusha mistari.
Kwa jina la upendo karibu moyoni, sintokufanya mpita njia, bali nitakupa makazi ya kudumu.
Mlango wa Madhabahu ya moyo wangu, umefunguka ajili yako hivo usisite kuingia coz we ndo mteule wa moyo.
Ikiwa utaniridhia, daima chozi la furaha pekee, ndo litatirika kutoka ktk vilindi vya macho yako.
Hongera mkuu, ila ulimkatisha masomo? 2020 alikua na 18yrs but ni vizuri atalea watoto wake akiwa binti mbichii, mimi nimeshakubaliana watoto wataniita bibi/ajuza sawa😒Mwanamke nilienae tulikutana 2020 now ana 22yrs na mtoto juu. Nikipiga mahesabu hadi kufikisha 30 ni zaidi ya miaka 8 umri utakuwa umesogea sana.
Muda uliobaki sii tena wa kuchagua saana na dharau kama kigoli wa 16 kumbuka muda haukawii soon tu hapa utafika 35 hali itakuwa mbaya zaidi nakuombea upate mtu ambae ni bora kwenye maisha yako.
Nna kawivu kidogo sijui itakuwaje, bi mdogo mmhNaona unafaa kuwa bi mdogo wangu joo tupange kabla hujachelewa
Kuwa na huruma mkuu, nitume picha ili mnikimbie hata msinipe ushauri ama?Weka picha yako then tukujbu
Jokes, ni sehem ya maisha mkuu.Sawa mkuu, kwenye issue serious umekuja kukumbushia mitongozo, naweza kuwa ni ndugu yako
SawaUnafki how G, nishazeeka mimi🙄
Kumbe una ushauri mzuri tu, ahsante sana mkuu👏Jokes, ni sehem ya maisha mkuu.
Ishi matarajio yako, wala usiyaishi matarajio ya jamii, coz yatakuvuruga bure hadi ukurupuke kuchukua maamuzi yasiyo sahih.
Mbona mimi nilikutongoza ukanikataaTushachukulia tu poa.
Hamna namna mana changamoto za uchumi zimetuandama mpaka familia unaona nayo ni changamoto... kikubwa tunaishi maramoja! Hatuwezi kuishi tuminamisha vichwa kwa sonona kisa hatuna familia.. sisi sio wa kwanza na hatutakua wa mwisho.
Acha uongo bibie unatongozwa sana bana mbona una followers wengi tuWewe umeshawahi kunitongoza humu hadi usiamini kama sitongozwi na hao wengine wa humu pia?
Wapi