Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mmh dadaangu hamna mwanamke ambae hatongozwi hata wale wabovu kuna wanaume wanawachombeza sana tu ondoa hiyo dhana akilini kila mwanamke anatongozwa bibie.

N.b kwani JF hujawahi tongozwa!?
Wewe umeshawahi kunitongoza humu hadi usiamini kama sitongozwi na hao wengine wa humu pia?
 
Wewe umeshawahi kunitongoza humu hadi usiamini kama sitongozwi na hao wengine wa humu pia?
Acha nitest mitambo, nione kama bado nakumbuka kushusha mistari.

Kwa jina la upendo karibu moyoni, sintokufanya mpita njia, bali nitakupa makazi ya kudumu.

Mlango wa Madhabahu ya moyo wangu, umefunguka ajili yako hivo usisite kuingia coz we ndo mteule wa moyo.

Ikiwa utaniridhia, daima chozi la furaha pekee, ndo litatirika kutoka ktk vilindi vya macho yako.
 
Sawa mkuu, kwenye issue serious umekuja kukumbushia mitongozo, naweza kuwa ni ndugu yako
 
Mwanamke nilienae tulikutana 2020 now ana 22yrs na mtoto juu. Nikipiga mahesabu hadi kufikisha 30 ni zaidi ya miaka 8 umri utakuwa umesogea sana.

Muda uliobaki sii tena wa kuchagua saana na dharau kama kigoli wa 16 kumbuka muda haukawii soon tu hapa utafika 35 hali itakuwa mbaya zaidi nakuombea upate mtu ambae ni bora kwenye maisha yako.
Hongera mkuu, ila ulimkatisha masomo? 2020 alikua na 18yrs but ni vizuri atalea watoto wake akiwa binti mbichii, mimi nimeshakubaliana watoto wataniita bibi/ajuza sawa😒
 
Tushachukulia tu poa.
Hamna namna mana changamoto za uchumi zimetuandama mpaka familia unaona nayo ni changamoto... kikubwa tunaishi maramoja! Hatuwezi kuishi tuminamisha vichwa kwa sonona kisa hatuna familia.. sisi sio wa kwanza na hatutakua wa mwisho.
Mbona mimi nilikutongoza ukanikataa

Cc Andazi
 
Back
Top Bottom