Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ingawa sina hakika kama ni kweli au unafurahisha genge, Pole sana mkuu.
Ndoa ni ishara ya ushindi na mafanikio kwa Wanawake wengi Duniani hasa Barani Afrika, middle east na Asia. Hivyo, wakigusa 30 bila ndoa hujiona kuwa wameshindwa kufikia lengo muhimu na kuianguasha jamii yao hasa wazazi.
Uzoefu unaonyesha hakuna kanuni ya upi muda sahihi wa kuoa au kuolewa, wewe mwenywe ndio determinant ya lini ni muda sahihi kuolewa. Ila kuna muda sahihi wa kuzaa kwa mwanamke 24- 36. Ukizaa ukiwa mzee kuna hatari za kiafya kwa mtoto. Sayansi inaonyesh ukizaa ukiwa kwenye 20s kuna tija zaidi kwa mtoto.

Ila unapaswa kutambua facts zifuatazo ili uweze kujua namna ya kutoboa. Kwanza, mwanamke ana nafasi ndogo sana ya kuamua nani amuoe na lini. Fact nyingine ni kuwa kwa kadri umri unavyosonga ndivyo mvuto wa kimapenzi wa mwanamke unapungua na eventual rate ya watia nia sahihi nayo inapungua. Fact nyingine ni kuwa ukiwa mrembo na ukiwa na umri mdogo na ukiwa na uwezo mkubwa wa kumpa furaha mwanaume unakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuolewa mapena. Bahati mbaya warembo wengi Duniani huwa hawana uwezo wa kuwapa furaha wanaume kutokana na demnd yao kuwa kubwa. Fact nyingine unapaswa kuelewa kuwa wanaume regardless ya utajiri au level ya elimu huwa wanatafakari sana kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa, wanawahofia sana wanawake. Wanaume wanataka mwanamke atakayempa heshima, furaha na amani. Ingawa siku hizi kuna wavulana ambao wao wanapenda zaidi physical materials kutoka kwa mwanamke. Mwisho wanaume wengi wenye akili na wanaojiamini huwa hawapendi mwanamke mwenye akili sana au mtafutaji sana kwa sababu wanaamini kuwa wao wanajimudu. Kujua Kudeka, kubembeleza, sauti na ufundi wa ngono ni silaha muhimu za ushindi.
Kwa umri ulio nao unaweza ukafanya yafuatayo:
Kuzaa bila kujari suala la kuolewa. Athari yake ni kuwa utapunguza zaidi fursa ya kuolewa na mwanaume wa maana na unaweza kumpa mtoto changamoto ya kimalezi na tabia. Wenzenu Ulaya, America na Asia uenda Baa na kujitegesha kwa walevi.
Oa, tafuta kijana anayetaka kulelewa muoe.
Boresha tabia, kuwa msafi (ng'aring'ari) ndani na nje muda wote, kuwa simple, usiwe much know kwa sana, safiri mara kwa mara, kata mawsiliano na EXs, take risk ukiombwa mzigo. Usiende kwenye game bila kuoga, kamwe.
Kamwe usimwambie mwanaume kuwa upo jamii forum na ukiwa na mwanaume punguza kuwa busy na simu.
Ukiwa kwenye dating ukakutana na mtu unayemfahamu msarimie then mpotezee focus kwa mwanaume wako.
Usiwe mtu wa kutoa options za hoteli au sehemu nzuri ya kutoka out. Ukipewa nafasi ya kuchagua mwambie sijui akikulazimisha, chagua kati ya maeneo ambayo amewahi kukupeleka.
Usiombe pesha, omba kitu

Ukiwa na mwanaume mweleze watu muhimu kwako na namna unavyo link nao. Likewise mbembeleze naye akwambie watu wake wa muhimu.
Mhaminishe mwanaume kuwa unatamani kumzalia wato, kamwe usimwombe akuoe.

Mwisho, hakuna kanuni kwenye kumpata mwenza, hivyo yote haya yanayosemwa ni kubahatisha tu.
Mungu akubariki upate itaji la moyo wako.
Hii Nicole shule kabisa,
Kiukweli financial services usipoelewa Hapa ndo Basi Tena, mwamba katiririka vzur sn
 
Ndugu mjumbe wa kamati kuu ya kudumu ya chama cha VIDUME. tunashukuru kwa jibu lako maridhawa, umetuwakilisha vema na mada ifungwe hapa.
Naomba jibu lako liwe marking scheme kwa swali la bi financial services wengine wenye swali kama la bibie wapige chabo kwako kupata jibu la marks 98%
 
🤣🤣🤣 Unatafuta umbea huna lolote
A ha ha ha nimecheka sana mkuu, jirani bana fanya kunipa code tare 14 nasisi tuwe namtoko wetu, tubadilishane mawazo kama majirani. Tuweke mpango kazi wakuishauri Serikali ipige Rami hii Barabara yakutoka kimara mpaka B-mwisho . Nipe kampani jirani tutoke wote.
 
Jirani tutaenda bar ya karibu tukanywe balimi ili tukilewa tusisahau njia ya kurudi nyumbani 😂😂😂
 
Hakunaga maisha ambayo yatakutaa kabisa ukose mfumo wa kuishi na kujenga familia. Tatizo katika mahusiano ya miaka hii na hawa wanawake wa kizazi cha kuanzia 1985 kuja huku mbele ujuaji ni mwingi.

Mwanamke hataki kuanzia chini anataka kuanzia level ambayo inawataka muwe na kipato cha kuanzia milioni 3 kwa mwezi huku yeye haweki hata buku mezani na anaishia kukwambia wewe si ni mwanaume.

Kuna brother m'moja nimejifunza kwake. Alianza na mkewe walifunga ndoa huyo bro akiwa anakaa kwao yaani vyumba vya uwani. Wakakaa miezi michache wakaenda kupanga sehemu hapo vyumba vya 30,000 viwili yaani chumba na sebule. Na hiyo sehemu ni bondeni mvua ikinyesha unacheza twist na tope na madimbwi ya maji hadi ukome mixer vyura wanakutumbuiza hadi alfajiri, ila ndipo walipoanzia.

Leo wana nyumba nne moja ndio wanaishi tatu wamepangisha, wana magari mawili mke analake mume ana lake. Wana watoto 4.

Kimsingi maisha yanataka utulivu na projection nzuri ya mnaelekea wapi pamoja. Hizo fujo za nataka mwanaume mrefu, awe ana akaunti yenye seven figures, awe na gari na nyumba nzuri ya kupanga kuanzia vyumba vitatu iwe ndani ya fensi. Haya maisha ya ndoto za mchana huwa yanawagharimu sana mabinti wa kisasa na tamaa zao.

Mwanaume ukute amejiimarisha hivyo halafu awe anakungoja wewe tu utokee akushobokee? So wewe ni nani aisee.

Lazima uishi kutokana na wakati ulipo

Wanawake wa zaman na sasa ni tofaut kila kitu ni kama new generation imekuja duniani

So lazima na mfumo wako pia ubadilike

Wanawake wa zaman lazima awe na bustan ya mboga mboga and wanawake wa sasa hivi mboga anakwenda kununua shoppars

Hata wanaume now tuko tofauti na wale wa zamani

So kinachotakiwa ni kwenda na mfumo and not history
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Kwanini hauna watoto au familia?
 
Back
Top Bottom