Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Early 30s' bado hakuna changamoto, relax utapata hitaji lako, tena unapata mtoto ukiwa matured!!
Wengine tulianza kuzaa kwenye early 20s' utoto ulikuwa mwingi sanaa
Umeongea point early 20s utoto mwingi lkn ndio watamu unapiga mechi hawachoki bado wanautaka raha tupu
 
Fursa zipo nyingi sana ila reality haiko hivyo
Unadhani huku ujerumani nimekuja na hela ya kupewa ? 😂 😂 😂 😂 😂 Ukiona fursa hauzioni badili marafiki ndugu yangu. Kama bado hazionekani badili unapokaa. Jitahidi kujifunza kitu kipya kila siku pia jaribu kubadilika badilika hadi ujipate.
 
Amka mkuu zama za kuwatishia wanawake ndoa na kuitumia kama fimbo ya kuwachapia zinaelekea ukingoni wanawake siku hizi wameshaacha kutafuta furaha kwa wanaume wanaipata kwa watoto wao, fuatilia siku hizi wanawake kuwa single mothers imeshakuwa fashion wengi hawajali tena kuhusu matusi wanayotukanwa na 'jamii' (ambayo actually ni wanaume), matokeo yake wewe usipooa humkomoi mtu endelea kununua malaya fainali uzeeni mwanamke atabaki na watoto wake wewe utabaki na malaya wako
Kwako kutokuoa mwanamke asiye na maadili inamaana kutokuoa kabisa, wenye maadili wataolewa wewe baki na tabia zako mbaya jitetee nje kumbe ndani unaumia eti zama zimeisha.
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa👏
Kisicho kuua, huku komaza.
👉Never pressure yourself, like the world is at it's end. financial services
FB_IMG_17074712600508313.jpg
 
Kwako kutokuoa mwanamke asiye na maadili inamaana kutokuoa kabisa, wenye maadili wataolewa weqe baki na tabisa zakl mbaya jitetee nje kumbe ndani unaumia eti zama zimeisha.
Be serious mkuu hao wanawake wenye maadili zama hizi mnawatoa wapi labda muumbe wa kwenu, wangekuwepo basi kusingekuwa na malalamiko ya wanaume kila siku, kwamba wanawake wanawaigizia kwenye uchumba halafu kwenye ndoa wanafungua makucha yao halisi

Unajua tofauti yangu mimi na wewe mimi naongelea reality wewe unaongelea fantasies, wanaume bado mko kwenye zile ndoto za kupata wanawake decent na full package mnaowataka mnasahau hakuna binadamu mkamilifu, kama ninyi mmeshindwa kuwa na maadili basi msitegemee hilo kwa wanawake wa sasa

Fuatilia hali halisi iliyopo kwa vizazi vya sasa kuanzia Gen X na Gen Alpha halafu fuatilia viongozi wa dunia wanachotabiri kuhusu vizazi vijavyo, ndio utapata picha halisi ya wapi tunaelekea inasikitisha kwamba kuna wanaume ambao bado mnaziota enzi za babu zetu, mnatakiwa kuamka kutoka kwenye huo usingizi na kukubaliana na ukweli uliopo kwenye dunia ya sasa acheni kujifariji kwamba tunaumia
 
Hivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Upande wa pili wana kikomo cha kuzalisha mayai, Me hawana kikomo, hata kama ni kibabu bado silaha zinakuwa imara.

Zikishot on target zinafunga goli.
 
Back
Top Bottom