999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 758
- 1,372
Una uhakika wanaume hawaitwi Malaya.Kama hujawahi kufika mojawapo ya hizo nchi pole mkuu mitandao haitoshi kukupa picha halisi ya maisha ya kule wewe umetoa mfano wa Beyonce ambao hauna uhalisia, mimi nakupa mfano wa uhalisia Kim Kardashian yule pale alikuwa na utitiri wa wanaume hadi videos zake za ngono zilivuja ila ndio kwanza anazidi kupata endorsements na kuongeza followers na hakuna anayemdharau heshima yake inazidi kuongezeka, halafu kinachofanya mwanamke mwenye wanaume wengi aitwe malaya ilihali mwanaume mwenye wanawake wengi haitwi hivyo ni kipi hasa
Sasa hapa ndo nakurlewa wewe mtu WA aina Gani.
Unasema Kim anapata endorsement na followers wengi na ana Hadi video za ngono lakini bado wanaume wanamtaka
Haujilizi kwanini wanaume wanamtaka? Haujiulizi kwanini video za ngono Zina watazamaji wengi? Haujiulizi hao followers wanafata Nini Kwa Kim? Huyo Kim hata mie ukinisogezea karibu napite naye
Tuje bongo kwamfano rahisi. Wema Sepetu bado anakiki kama zamani? Majuzi hapa katoka kafokewa na mama yake.
Unadhani Mama yake Wema anamchukuliaje mwanae (mwanamke mwenzie)? Unadhani pale alipo Wema yupo SAWA hakuna anachojutia kwenye maisha yake japo yupo kwenye mahusiano mengine sahivi? Unadhani ndugu zake wa karibu wanamchukuliaje?
Kama wewe umeamua kuwa mwanamke wa wanaume wengi kila la kheri. Usidhani kuwa na body count kubwa unamkomoa mwanaume, itakuathiri wewe zaidi.
Wanaume wakijua Kuna wanaume wengi wamepita kwako. Ndivyo watazidi kupanga foleni kwako kwa lengo la kutafuta sex na siyo serious relationship, wakikuchoka wanakudump
Ukianza kuchuja wataanza kupungua, utaanza kutamani uwe na familia Yako iliyojaa amani, upendo, maelewano, nk. na hapo ndiyo utaanza kuona madhara ya kuwa msururu wa wanaume