Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Ni hatari
 
HAKUNA UCHAWI

Toka dunia imeumbwa logically uchawi haujawahi kuthibitishwa popote pale kwamba upo zaidi ya hadithi za kusadikika za waamini uchawi

Uchawi na imani ya Mungu havina tofauti yoyote..... ni swala la ku train your brain to ignore fact
Yaani mtu anaye amini Mungu na anaye amini uchawi hata umpe FACT za aina gani hawezi kukuelewa atabaki na anacho kiamini tu
 
Kama uko bara la Africa huwezi kujitenganisha na uchawi,huku kila kitu kinategemea uchawi,iwe kupata au kukosa,inamaana watu wengi unawaona wako hapo kwenye ugumu wa maisha lakini wachawi ndiyo waliowafanya hivyo
Nimetembea baadhi ya inchi mtu akizurumiwa au kuibiwa haendi kwenye mamlaka husika kama polisi baadala yake wanakwenda kuwashitakia waganga ambao ndiyo mawakala wa wachawi,kinachofwata mji umejaa vichaa wengi sana,ukiuliza wenyeji utasikia huyu alimuiibia furani
Inaendana hata na wagonjwa walioko hospitali wengi mamelogwa na huishia kufa badala ya kupona hii ndiyo Africa
 
aisee niletee kidari cha mwanao nikarost
 
Wewe ni mshirikina tu, na ushirikina wako umekomaa shauri ya kukosa shule. Uchawi upo lakini si kwa namna unavyotaka kuuzungumzia. Eti watu wasirudi makwao? Duh!
Huwezi kuelewa kwasababu haujatokea katika familia ya kichawi.

Tena urudi alafu wajue maisha umeyabutua, watakugombania kama mpira wa kona
 
Mkuu mambo yote hayo ni wewe umechagua kuamini ni kwasababu ya uchawi lakini sio kweli

Waafrika tuna imani kwamba mtu akiwa kichaa ni amerogwa
Mtu akiumwa asipo pona ni amerogwa
Mtu ikiwa mambo yake hayaendi ni amerogwa

Matokeo yake tunaacha kutafuta ufumbuzi wa kweli wa hayo matatizo tunabaki kuhangaika kwa waganga na kwakina Mwamposa

Mkuu watu kuamini kitu fulani ni kweli hakufanyi kitu hicho kuwa ni kweli
Wakristo wanaamini Yesu ni Mungu lakini Waislam wanaona sio kweli
Waislam wanaamini Mtume katumwa na Mungu Wakristo hawaamini hivyo
Kuna watu zaidi ya Bilioni wanaamini hakuna Mungu ila Budha nk nk

Hizo ni IMANI tu hazina UKWELI wowote
 
Hayo yote umesema yametokea,tupo tunabung'aa tu.
Maisha hayasongi.Hata mtu upigane vp tuko palepale.
 
Kila mara mimi nasema sisi waafrika akili hatuna kweli mzungu anaweza kumfanyia mtu jambo kama hili halina faida?
 
Kila mara mimi nasema sisi waafrika akili hatuna kweli mzungu anaweza kumfanyia mtu jambo kama hili halina faida?
 
Mchawi akiwa ndugu wa tumbo moja au mzazi au mke au mume ni balaa.
Au mkwe maana atapitia kwa mwanae kuchukua vitu na mizimu ya kwenu.
Balaa.
Ndo maana tulikua tunakatazwa kuoa kwenye maukoo ya kichawi nauogopa sana uchawi mimi!
 
Kwanini wanawake wengi wanapenda uchawi, asirimia kubwa mwanawake?
 
Hakuna mchungaji yoyote mwenye uwezo wa kusema neno la mungu aushinde uchawi, mwamposa mwenyewe mchawi mkubwa!
 
Aya mambo ni africa tu ulaya asia na American huko na maendeleo waliyonayo hawana huu upuuzi..
Uchawi ni matokea ya ujinga ktk jamii
 
Watapuuza ila uchawi una mengi sana na mabaya mengi sana watu wasiyoyajua mchawi hatakiwi kuishi maana uchawi huathiri watu wanaouzunguka kabla ya kutoka nje wa ndani mshaumia sana.
ndio nyie mnaoua mama zenu kwasababu ya kuwasingizia uchawi wanawaroga ndio maana hamfanikiwi.
 
Pole mkuu labda hujaishi vijijini na umri wako bado nahofia, na bado upo nyumbani kwa wazazi, bado hujaanza harakati ya kutafuta maisha na mali. Ukiaza hapo ndo utajua uchawi upo ?
 
Ulishawahi kuona mtu au mwanafamilia anavyoanza kuchizika?na uchawi ni Vita,yaani kama mchawi anakuroga na wewe unapambana kujitibia na unapata nafuu,jua hiyo ni vita na razima apatikane mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…