Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Dawa ya moto ni moto utakimbia na kuishi kwa hofu hata lini?
Anaishi kama swala maisha ya hofu siku zote na bado anakuja kuliwa na simba. Ishi leo ondoa wasi wasi na mawazo potofu maana uoga wako hauwazuii kukuloga kama wakiamua.
 
Mchawi PESA kubabake
 
NNd
Haya mambo ukiyafuatilia sana maisha yatakuwa magumu kila mtu utamuona mchawi na kila jambo linalofanywa utahusisha na uchawi. Maisha yatakuwa magumu mno

Haya mambo ukiyafuatilia sana maisha yatakuwa magumu kila mtu utamuona mchawi na kila jambo linalofanywa utahusisha na uchawi. Maisha yatakuwa magumu mno
Iko hivi ukiwa unasafiri ukaambiwa huko mbele kuna majambazi wanateka magari utasafiri kwa tahadhari, mfano huwezi kusafiri usiku utasafiri mchana itakuwa ngumu kutekwa,lakini kama hujui itakuwa rahisi kutekwa
 
Nitakumpa mfano mdogo wa sayansi ya kichawi,Mwanaume kwa tamaa zako unaweza kuwa na mchepuko huko nije,Usijue kama mchawi mara nyingi atamtia maradhi mpaka afe mke wako ili umuowe yeye,hebu chunguzeni ndoa nyingi ambazo wake halali wa ndoa walishakufa
Yawezekana wewe mwanaume ulikuwa kwenye mahusiano na huyo mwanamke uliyekuwa naye leo kabla mkeo hajafa
 
Ungefika walau kidato cha sita, elimu ingekusaidia.
Inawezekana hiyo ya kwako ikawa haina msaada wowote ule, sababu wachawi wakiamua kukufanya chochote haina uwezo wa kukusaidia

Lakini mimi isingekuwa na hii elimu yangu niliyokuwa nayo ningekuwa nilishazikwa zamani,istoshe heshimu watu hata kama huwajui au wako mbali na wewe sababu unaweza kufanyiwa ubaya kwa jina la Adamu na Eva na ukakukuta
 
Kulisishwa❎,,Alilisishwa❎
Kurithishwa✔️,,,Alirithishwa✔️
Kuludiludi❎
Kurudirudi✔️
Hatali❎
Hatari✔️
Mala❎
Mara✔️.
Sidhani kama Kuna mtu hakuelewa hapo, kama ww ulielewa basi ulipaswa kujua tu Kila mtu alielewa basi.
 
Ungefika walau kidato cha sita, elimu ingekusaidia.
Inawezekana hiyo ya kwako ikawa haina msaada wowote ule, sababu wachawi wakiamua kukufanya chochote haina uwezo wa kukusaidia

Lakini mimi isingekuwa na hii elimu yangu niliyokuwa nayo ningekuwa nilishazikwa zamani,istoshe heshimu watu hata kama huwajui au wako mbali na wewe sababu unaweza kufanyiwa ubaya kwa jina la Adamu na Eva na ukakukuta
 
naomba nisinukuliwe vinginevyo! pointi yangu ni kuwa ukiwa na hela,huwezi kuja public hivi kuzungumzia uchawi,wenye pesa kwa waganga huenda kwa siri mno na huwezi kukuta anasema eti amelogwa,hili la kutunza siri kwa matajiri ni swala muhmu mno na la kuigwa na jamii zote,uchawi upo lakn suala la kutoka public halina afya ktk kuyafkia maendeleo ya kweli.
 
Alirithishwa.
Kurithishwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
NNd

Iko hivi ukiwa unasafiri ukaambiwa huko mbele kuna majambazi wanateka magari utasafiri kwa tahadhari, mfano huwezi kusafiri usiku utasafiri mchana itakuwa ngumu kutekwa,lakini kama hujui itakuwa rahisi kutekwa
We all know uchawi upo na hatuwezi zuia kwa nguvu zetu za kawaida.
 
Uchawi upo na unatesa wengi
 
Wewe ni mshirikina tu, na ushirikina wako umekomaa shauri ya kukosa shule. Uchawi upo lakini si kwa namna unavyotaka kuuzungumzia. Eti watu wasirudi makwao? Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…