Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Na wanalindana sana, hutakuja sikia mchawi anatoa siri ya mwenzake,mara nyingi wanaotoa siri za wachawi ni waganga
Hapo umenena kweli. Wakiona kina mwenzao kajulikana utaona wanakaa wanajifanya hawapatani nae wanamponda kumbe lao Moja. Alaf shida ya hiyo midubuwasha inapenda na kufurahia kuwafanya wengine waonekane hawana akili ispokuwa wao. Mfano watakuuliza jambo labda utamalza kujenga lini? Au utaanza, then ukisema mwez ujao ukakwama huenda wanahusika utaona anakuja kukuuliza ukijibu Nina dharura akifika pembeni anaanza kucheka au wakiwa mkutanoni usiku ni kucheka tuu. Wakiwa uchi wamefungia mikia viunoni kama wanyama.
 
(Mathayo 10:36)

Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake.

Anyway, tuambie umegundua nani mchawi kwenye familia Yako na ikiwa unapenda upate solution Sema usaidike.

NB: Inawezekana kabisa kuhama familia, ukoo, ukabadili kabisa DNA isome kwingine Kwa ulinzi thabiti.
 
Siku nikimkamata mchaw👺i, nikumpelekea🔥 moto wiki nzima na ita nawahuni,sipigi kelele🤫 Wala nn tuna mkula taaaratibu😋 sihuwa hawa Vai kyupi😁..wakija kuloga🚮
 
Huna akili kichwani mwako.
 
Uchawi upo bt unamadhara kwa wanaougopa.

acha kuwaogopa wachawi kamwe hawatakudhur coz hofu/woga wako ndo silaha yao kuu
 
Sasa Hawa wachawi huwa wanapata faida ipi kwa hayo maafa yote wanayoleta kwa famili zao na jamii?
Kwao ni kama ibada na utawala yaani kumuharibu mtoto wake ni furaha na ushujaa wa kutawala, huaidiwa kuitawala jamii yote anapokuwa mtiifu wa imani ya uchawi na kama wanae ni kikwazo basi huwafunga kwanza na kuwaharibu kichawi ili afanikishe kutawala jamii yake, kiufupi ni tamaa zilezile alizodanganyiwa Eza msituni.
 
Ni kweli mkuu wanaona vile wanavypita kwenye kuta za nyumba na kutuangalia tunavyolombana na wake zetu usiku huku hatuwaoni kwamba hatuna akili na sisi ni wajinga sana kumbe wao mwisho wao ni aibu kubwa, uchawi ni hatari sana kwa maendeleo ya jamii.
 
Hakuna lolote. Hiyo siku haipo maana uchawi ni uongo tu.

Fcuk wote wanaojiita wachawi.

Siku nikimkamata mchaw👺i, nikumpelekea🔥 moto wiki nzima na ita nawahuni,sipigi kelele🤫 Wala nn tuna mkula taaaratibu😋 sihuwa hawa Vai kyupi😁..wakija kuloga🚮
Inaonekana unachezea simu ya baba yako,
 
Kwenye 'R' unaweka 'L' nikaona we nawe ni zombi tu na bandiko lako la kijinga, nikaishia njiani huwezi kupoteza muda kumsoma tahira
Kwani Kuna mtihani wa kiswahili humu mkuu?
Amepata hasara gani wewe kutokumaliza bandiko lake?

Kujua kwako kiswahili Kwa ufasaha kumekutajirisha ?
 
Niseme tu nilichogundua idadi ya wachawi siyo kwamba inapungua bali inaongezeka,tofauti ni kwamba wachawi wa zamani walikuwa wako vijijini,wakulima na masikini na hawana elimu.Lakini wachawi wa sasa wako mijini,maofisini na wengine wasomi,wafanyabiashara na wanasiasa
 
Watu wengi wameweza kujiingiza kwenye uchawi pasipo kutarajia kutokana na mihangaiko yao, mfano wafanyabiashara, inawezekana hakuwa mchawi, lakini kitendo cha kwenda kwa waganga kwa ajili ya kupata wateja ndipo anapoanza kupewa masharti ya lete kuku, Mbuzi, n'gombe kesho ataambiwa toa kafara ya mtu, jua hapo safari ya uchawi imeanza
Kundi la pili ni la wanawake, kumekuwa na wanawake wengi sana wanaokwenda kwa waganga kwa ajili kuwaloga waume zao mwisho wa siku nao wanaangukia kuwa wachawi
 
Na Kwa kuongezea, ukiwa na Watoto, epuka Sana habari ya kupeleka Watoto Kwa Babu na Bibi Yao Likizo Kijijini, wewe ukarudi Mjini kusubiri Likizo ikiisha ili ukawafate....!

Unakuta mpaka Bibi analia Kwa Mtoto wake kwamba Kwa Nini hampelekei Wajukuu zake Kijijini.
 
Kweli kabisa
 
Kweli kabisa mkuu,kwetu wameuliwa karibia wote ukoo wa baba.
Baba alienda namimi nilikoswakoswa
Akagusa pabaya baada ya kummaliza bibi ndo akapigwa na vitu vizito toka kwa Mungu kaenda mwenyewe kanisani kutaja aliowaua.7 total
Ni mama mdogo,muimba kwaya mzuri tu,mpole sana ,nadhifu lakini mchawi wa kurithishwa
 
Japo hujui kuandika una hoja, Usikilizwe!
 
Anaishi kama swala maisha ya hofu siku zote na bado anakuja kuliwa na simba. Ishi leo ondoa wasi wasi na mawazo potofu maana uoga wako hauwazuii kukuloga kama wakiamua.
Kabisa my friend na wakijua unawaogopa ndio wanakandamiza msumari wa mwisho kwenye jeneza.
 
Hakuna mtu mwenye wivu na roho mbaya kama mchawi, mchawi anaweza kukualibia biashara yako uliyoibuni iliyokuwa na wateja wengi na kukupa kipato, ukaona ghafra hamna movement,
hii dawa yake nenda kwa mwamposa kachukue maji ya upako uwe unamwagia sehemu yako ya biashara,hutajuta

Mchawi ni mtu mwenye roho mbaya anaweza akamuuwa mwanaye aliyemlea na kumsomesha kwa miaka mingi na anayemsaidia ili tu amuweke kwenye biashara yake ya mbogamboga au pombe za kienyeji n.k ili ziwe tu na mvuto,
Na ogopa sana watu waliokwenda umri yaani mtu ana miaka 80 bado anan'gan'gania kufanya biashara huku ana watoto wanaomsaidia kwa kila kitu,na akiuulizwa utasikia siwezi kukaa burebure, jua kuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…