Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Umemaliza kusimulia?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


Ahahahahaha

Mdau umeni chekesha Sana...


hiyo inaitwa " Mwana ukome"
 
Nimekumbuka na mimi yashanikuta:kipindi cha pepa za chuo(UE) kuna mshkaj wangu alikua anaenda kusomea kwa dem mmoja tulikua nae group moja na alikua ana lala hukohuko nkataka kumuuliza mshkaj kupitia msg"najua utakua ushamaliza kwa ester(sio jina kamili) kwa sababu najua huwez kushea nae kitanda na ushindwe kula labda uwe sio mzima" mda wa kuituma hiyo meseji si nkamtumia yule dem badala ya mshkaj na sababu ni kuwa majina yao nlisave yakawa yanafuatana,nlipaniki hatari meseji inaenda nkaifuta nkaona haitoshi nkazima na simu kabisa nakuja kuwasha simu naona messege delivered to ester!nkaishiwa nguvu ila nkajikaza nkampigia dem simu vp kuna meseji nimekosea kutuma ikaja kwako ushaisoma?akasema hapana nkamwambia naomba uifute kabla hujaisoma akagoma nkamwambia poa ila ujue tu mi na mshkaj nliekua namtumia hyo msg huwa tunataniana ishu kibao kwa hiyo utambue huo nao ulikua utani akakata simu akasoma afu akanipigia sim nlikula vichambo vya haja nkaishia kuomba msamaha bila mafanikio alikua mkali hataki kunielewa kabisa,nkaona isiwe tabu nkamwambia utakavyoamua poa tu.ukaibuka uadui tunapishana kwenye korido za class hamna hata salamu kwenye group akichangia mi nakausha nkichangia na yeye anakausha,ila siku ya siku akaja akaomba msamaha yy yakaisha baaadae jamaa ndio anakuja kuniambia alikula mzgo nikaunganisha dots kumbe ndio maana alikua mkali vile alidhani jamaa kamtangaza
 
dah niliua Soo kiume mkuu.yule binti hamu ya kumgegeda yenyewe ilikata nikamwambia apotee maana niliona hawezi nipa msaada zaidi kuendelea kuniabisha.nikamvuta manager pembeni nikamwambia baki na simu yangu nikakuletee pesa yako.hahah
....Technic muhimu ukienda Bar au hotel you must know ulichonacho mfukoni Vs matumizi yanayoendelea, wewe una elf kumi halafu unaona bili from elfu mbili mpaka thelathini? Yaani bili ikizidi 60 percent ya mfuko wako stuka na anza strategy ya kulikabili hilo...
 
Mkuu yaan umenichekesha ila nimekukubali kwa akili uliyotumia
 

aisee umenikumbusha mbali nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa pili nilienda kumtembelea dada yangu wa hiari Gombo la mboto ..nikaambiwa niandae kachumbari kwakweli mim kwetu nilikuwa mlaji sijui hata kupika duuh nikamwambia siwezi akaniambia leo utaweza nikaanda vyote uje wakati wa kukamulia liamau sasa nataka kukata tu kumbe kuna kuligonga gonga limao litoe maji nikajikuta naligongea kwenye ukuta wa nyumba wacha wanicheke ...sitosahau ile siku kwa kweli ..hata leo nikienda ugenini nikiambiwa suala la kupika nakataa kabisa niko radhi kuvumilia njaa kuliko niambiwe nipike...
 
Hahaha wee ni noma.

Ila mkuu gombo la mboto ndiyo nchi gani hii ![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbavu zangu mieeeeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka siku moja navuta sigara kwa siri siri nikavuta ndefu moja mara mbele uso kwa uso na shangazi yangu nikaubana ule moshi alf sigara nikaizimia mfukoni ile kunisemesha tu nkakosa cha kufanya kuongea moshi wote nje aibu kubwa sana alf wakijua hom msala
Nilitimua mbio hizo ili nisiulizwe maswali
Mashtaka yalipo fika nilikana hatari nkasema nilkua na jamaa nmekutana nae rafk ndo alkua anavuta sitokaa nisahau
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nichekee kwanza
 
Hujaeleweka kwa hicho kiluga ulicho weka hapo
 
Duh mkuu ulikuwa unapiga boys nini?, si kwa ugwadu huo.
Swali la kizushi, Dom ulikuwa unasoma bihawana boys au?
 
Npo Primary la 4, enzi hzo tunakaa chini kwenye mawe,, banae kumbe kaputura yangu imetoboka sirini, sasa kumbe kipumbu kimoja kimechomoka nje
Nikawa nashangaa darasa wana na videmu vinacheka m sjui hili wala lile, nlshangaa kidem kimoja kikaja kuvuta hcho kitubwasha banaee ilikuwa aibu ya mwaka darasa zima likalipuka kwa kicheko cha hatare
 
darasa la pili hilo enzi michezo ya gololi imeenea,
basi baada ya kubunwa gololi zoote nikawa sina jinsi, nikarudi home mpaka chumba cha bro, kuingia nakuta tsh 40 mezani, yaani tsh ishirini ishirini ziko mbili,
basi nikazichukua fasta kisha nikachomekea t-shirt yangu na kile kipensi nikichovaa, then nikazidumbukiza zile hela ndani ya shati(nimechomekea ili nikiweka hela zisidondoke)
na ikitokea hata nimefumwa nikisachiwa mfukoni zisionekane.
sasa mazee ile natoka tu ndani Haaamad bro huyu hapa, uso kwa uso mlangoni, akaanza kuniuliza enhee umefuata nini chumbani kwangu? Kuniuliza vile nikaanza kubabaika cuz kila mtu ana chumba chake,
kisha akaniuliza tena
Hujaniibia hela wewe? Hebu ngoja niziangalie.
Dooh kuzichek hazipo!
Ikabidi aaanze kunisachi huku mimi nikijitetea sijachukua.
Akasema hebu ruka ruka nione, basi ile kuruka ruka mara naskia sarafu yakwanza imeanguka chini, sijakaa sawa na nyengine imeanguka. Dah nilijiskia noma kweli,
ukichek ndo mara yangu ya kwanza kumuibia,
Gololi ziliniponza aisee manake malengo yangu pale nilijua nakwenda kununua gololi zingine ili nizikomboe gololi zangu
 
Kuna mwaka mmoja nikitembelea mbuga za wanyama nikafikia hoteli Fulani (jina limenitoka) nimebanwa na haja ndogo nikaulizia vyoo vilipo nikaelekezwa kufika nikafanya yangu nikanawa sasa pembeni nikaona hand dryer nikafikiri ni soap dispenser ile nimepeleka mkono nikashtushwa na mngurumo nikatoka nduki sikukausha mikono nikajifutia kwenye suruali.. Kwa sasa kukwepa aibu nikiwa kwenye public toilets nakwenda na tissue au kitambaa nakausha manually sipendagi ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…