Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Umemaliza kusimulia?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mie siku moja tulikuwa na staff mwenzangu tukawa tunamsengenya dada tunayefanya naye kazi, huyo dada alikuwa anazaa mfululizo yaani kila mwaka!!! Sisi tulikuwa kwenye ka room Fulani tunamsema kwa raha zetu, kumbe mwenyewe amekuja muda mrefu sana anatusikiliza, tulivyogeuka tukagonganisha macho, akasema maneno haya "MMEMALIZA KUNISEMA"? loooh! aibu kweli
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]