Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahahah yaan nikikumbuka huwa nacheka sanaUtakua kazuri lazima.
Hahaa. Halafu juu inandikwa Fly but stop to Dina.[emoji307]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah yaan nikikumbuka huwa nacheka sanaUtakua kazuri lazima.
Hahaa. Halafu juu inandikwa Fly but stop to Dina.[emoji307]
Sasa na k ulikuwa unapata ,,za mkojo mkojo hahaSasa mimi class ndiye nilikuwa mdogo. Rafiki zangu wa kike wa class walikuwa wakiona katoto kamekuja kageni lazima wa nipe taarifa na watanitengenezea mazingira mpaka nikatongoze
Hhhhaaaa uwiiiHahaha
Nilikuwa napata ila hata sikumbuki zilikuwaje.
Raha ya mapenzi ya utotoni ukikutana na X wako ukwabwan unamtongoza upya kama haujawahi mtongoza.
We ni nyokaa,,sasa niambie kuna k humu inakufata fata ushaitandikaaTehteh [emoji125] [emoji125]
[emoji16][emoji16] lift kama haujawahi kubofya sio ya kupanda hovyo hovyoNiliambatana na rafiki yangu toka kijijini kwenda jengo moja lenye lift bila kumtaarifu kuwa tunapanda lift. Nilivyoingia akaniuliza na mimi nije nikamwambia njoo, lift ilivyoanza kuondoka jamaa alinikumbatia kwa nguvu mpaka raia wengine waliokuwa ndani ya lift wakaangua kicheko. It was my fault kutomwelekeza
Another day, ilikuwa siku ya kwanza kukwea pipa from Dsm to Doha-Qatar na Qatar Airways... Nimekaa zangu mda nikabanwa na haja (big call) nikafikiria nimuite mhudumu anioneshe toilet zilipo?? nikaona utakuwa ushamba wa kiwango cha lami... nikainuka huyo to the cockpit... nikakuta kimlango kiko labeled 'occupied' nikageuka nyuma nikakuta 'unocupied' mzee nikazama. Sababu nilikuwa nimebanwa mda mrefu fasta nika unload mzigo.. kimbembe sasa [emoji23][emoji23] kucheki sioni sehem ya kuflahia, no kikamba cha kuvuta no button bas mzee nikabaki nimeduwaa tuu.. kuchek pembeni kunasehem imewekwa kilabel cha duara ile kugusa tuu kitu hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikavuta pumzi (kumbe mi mjanja)... Sasa imebaki kazi moja 'kujiswafi' na nikicheki hamna 'horse' ya maji ya kutawadhia [emoji33][emoji33] asee nilifungua kale kamlango nikabaki namwangalia tuu yule hostess sielewi nianzie wapi.. nikajifungia nikaloesha tissue paper nikamaliza kazi ile natoka yule mdada anacheka tuu kwakweli kile kinjia kuja kuikuta seat niliona kama kilometa hivi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ilikua form3 majira ya asubuhi nimegonga chai na kiporo cha makukuru then tumeingia kupiga test, basi tumejipanga fresh kilamtu na kiti chake, mm npo katikati ss ile tumegaiwa karatasi za maswali tumbo likavuruga kidogo afu nkaskia kama kigesi chembamba kimegonga hodi, kuangalia kulia na kushoto raia wakobize wanaperuzi maswali, nikawaza kwan nani atajua bhana pasipo iyana nikapumua kibingwa[yusuphhh], duh sikujua nilichofanya kilikua na maajabu gani mpakapale nilipoona darasa zima wakiongozwa na msimamizi wakitokanje speed huku wakipiga kelele na mm nikafuata mwisho sikumbuki walichosema lkn nlisikiawakitaja jinalangu huku wakicheka sana, duh huwezi amini nlijikuta natabasam maskini mm
NB:fikiri mara mbili kabla hujaachia shuzi la kimya kmya
Inaonesha hyo pepa haikua yakawaida mjomba radi, hahahahaHaya hiki hapa kituko changu...!!! Hakichekeshi lkn..!!
Tulikua class enzi izo niko form 3 shule za Seminary., tuko 20 tu darasa zima., sku hiyo kama ratiba ilivyoada ilikua ni siku ya paper ya physics.,, tumeingia class mapema coz wote tuliliogopa ilo somo kutokana na ubabe wa mwalimu aliyelifundisha., Mwalimu kaingia kagawa karatasi fresh., Ile kusema neno Start kuna jamaa aliachia Mshuzi mnene hatari., Kwa kua ticher alikua hataki masihara hakuna aliyecheka zaidi yangu kwa kushindwa kujizuia.,, Sasa bhn kucheka kwangu haikua tatizo., tatizo lilikua pale katika kucheka kwangu na mimi ukaniponyoka ushuzi huo ambao hata mimi ckuamini kama umenitoka mimi, darasa zima tulihisi mbingu zinashuka, kicheko changu kikakata gafla bila kutegemea na ikabidi nigeuke nyuma na mimi kwa uso wa kustaajabu.,,,kama mnavyojua tabia za maharage ya bweni....!! Kitu nnachokumbuka na ambacho hakikutegemewa na wengi,,,. Mwalimu alikua wa kwanza kuangua kicheko japo alikua mbabe hatari, hataki mcheke kwenye misala kama hiyo......!! Kibao kikaishia kwangu mie mchekaji thatha....! Aliniruhusu nikapigwe upepo nje ingawa ktk historia yake hajawahi ruhusu mtu katikati ya mtihani kwenda nje...!!....
Toka siku hiyo wakanibatiza jina RADI ., hadi namaliza form 4.,,, Kwa kuwa tulikua uboyzini baada ya hapo vicheko vyao havikuendelea kuninyima raha kuliko kama ingekua mixture na hawa vishtobe wapo...!!
Inaonesha hyo pepa haikua yakawaida mjomba radi, hahahaha
Hopefully umeitunza hyo karatasi [emoji23] [emoji23]
Mzee baba.,, nakumbuka nilikula single digit ya 05% kama skosei., na kwa jinsi ambavyo nilikwisha changanyikiwa mapema...!!
Hopefully umeitunza hyo karatasi [emoji23] [emoji23]
Huwa kuna vituko ambavyo vikitokea unashindwa kujizuia kuchekaHahahh...!! Nakumbuka jina langu lilisahaulikaga kwa wanafunzi wenzangu.,,, Hadi leo hii tuliosoma nao wakinipigia simu bado wananiita radi...!! Ko licha hata ya karatasi jina tu linanikumbusha mengi....!!!