Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Hii ndio thread bomba Jf katika jukwaa la Chit Chta mwaka 2017
Kama mbavu zimepinda soma coments humu zitanyooka..!
 
ilikuwa primary darasa la sita sa kuna kademu kalikuwa kananielewa kinoma siku hyo kakaja kwetu mi mwoga mwoga sijui mambo ya kunjunjana. bro kakashawishi kakakubali tukapige mtungo. sa broo akaanza kaniambia mi nikae mlangoni nicheki so coz mshua alikuwepo home but anapenda kukaa njee sna kuingia ndani labda taarifa ya habari.. apo tumekubaliana kuwa mtu akitokea nipige mluzi sa ghafla nimesimama mlangoni nato shingo nje mshua hyu apa si nkashindwa kupiga mluzi nikasema kwa nguvu hyooooo. mshua kastaki then kanambia em sogea hapo kaingia ndani kawafuma broo na kidemu kakatiwa vibao kakasepa home kwao...hahah bro kashikwa dushelele mzee kaivuta huku anamwmbia naikata leo ndo inayo kuponza.................itaendelea
 
nyingine hyoo tukiwa form two school kwetu tulikuwa tunapikiwa chai sa nne but vitafunwa tunanunua wenyewe afu duka lenyewe la shule moja tu so sa nne ikifika panajaa kinoma ni mtindo wa survive for the fittest. siku hyo sijaenda class so sanne imefika si nlikuwa nimelala domitory nikaamka na truck suit yangu nkakimbilia shop katika gombania goli sijui nani alinivuta mara suruali hii apa miguuni sina ataa boxa watu wote wameacha kunnua vitafunwa wananiangali. duuuh sitokaaa nisahau mbio nlizochomoka usain bolt ni kama anatroat... wakuu ilibidi nijipe suspaa ya wiki mbili mwenyewe......
 
Nlikuwa mwoga wa mademu knoma... Siku moja manzi ametukuta kijiwe akaanza kutoa hi kaanzia kushoto wote anawapa mikono then anawambia mambo? Me woga woga wangu nkamwambia mambo af nkadakia mwenyewe poa poa.... Wana walicheka sana... Ilikuwa mashine 3 iringa cji sahau
Hehehe na hao masela wako wangekua ndo wanamuamkia huyo manzi basi usingeshindwa kumuamkia ukaitikia mwenyewe and i bet ulikua umekaa pale kwenye mapultable mengi mashine3

form1
 
nyingine hyoo tukiwa form two school kwetu tulikuwa tunapikiwa chai sa nne but vitafunwa tunanunua wenyewe afu duka lenyewe la shule moja tu so sa nne ikifika panajaa kinoma ni mtindo wa survive for the fittest. siku hyo sijaenda class so sanne imefika si nlikuwa nimelala domitory nikaamka na truck suit yangu nkakimbilia shop katika gombania goli sijui nani alinivuta mara suruali hii apa miguuni sina ataa boxa watu wote wameacha kunnua vitafunwa wananiangali. duuuh sitokaaa nisahau mbio nlizochomoka usain bolt ni kama anatroat... wakuu ilibidi nijipe suspaa ya wiki mbili mwenyewe......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahaha...mkuu mimi kuna hii niliisahau
Wakati ATM ndiyo zinakuwa mashuhuri hapa tauni mzee alikuwa anamwagiza bro akachomoe mkwanja. Sasa mimi si nikawa naenda nae nasimama mbali maana kwenda wawili si hairuhusiwi may be unasaidiwa.

Siku moja nikapata emergency mzee hayupo then natakiwa nimfuate Tanga. Akaniambia nichukue ATM nikachukue angalau nauli kidogo.

Ishu Ikaja nina kadi ya NMB then nikaenda machine ya DTB..[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimezuia foleni ya watu huko kila nikiingiza kadi inaleta mapicha picha. Hadi Askari akaja akaniambia tatizo nini? Nikamwambia haisomi akanipeleka ndani. Ile officer wa DTB anaangalia anakuta nina kadi ya nmb alikasirikaaa akataka kunizabaaa nilichomooka ndukiiii [emoji23][emoji23][emoji23] watu wote benki wakawa wananiangalia navyopotea
Niliaibikaaa saana siku hiyo aseeh
Mkuu pole sana maana aibu uliyoipata siku hiyo ilikuwa too much..
 
Back
Top Bottom