Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
KwaniniiKwa mwenzio kicheko kimempa jina sasa.,,, Ningekua kwenye hilo darasa ningekuita Mwana Anga ( Space Traveller,) Kwa sababu Mhhh...!!1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwaniniiKwa mwenzio kicheko kimempa jina sasa.,,, Ningekua kwenye hilo darasa ningekuita Mwana Anga ( Space Traveller,) Kwa sababu Mhhh...!!1
Huwa kuna vituko ambavyo vikitokea unashindwa kujizuia kucheka
Mimi sasa ningecheka mpaka nikagalagala chini yaan ningecheka mpaka mwl akanotoa class na adhabu juuNdo ukamage kuwa kimbelembele., unazan wenzako hawakubanwa na kicheko...??
Nimejikuta nacheka tu. Poleni. Mimi hayajanikuta. Hata sipendi kuwa mjuaji. Hata Kama kitu nakijua 100%ntajifanya sikijui mwanzo mwisho. No mapepe
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuh, babu ulianza mapema sana.Kweli ulikuwa mtoto mwema. Darasa la 5 nina demu wa la tatu. Makuzi tu yanatofautiana
Hahaaa utakuwa ulizianzia ukubwan, sisi tulioanzia utoton harukoseagMi bwana nilikua sijui pa kuingiza, dah! sitaki kukumbuka hii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilikuaje comradeHahahaa , afadhari wewe Mimi nilishawahi kujinyea darasan halafu nilikua nakaa bench moja na mtoto wa kike, nakumbuka ilikua ni standard 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe na hao masela wako wangekua ndo wanamuamkia huyo manzi basi usingeshindwa kumuamkia ukaitikia mwenyewe and i bet ulikua umekaa pale kwenye mapultable mengi mashine3Nlikuwa mwoga wa mademu knoma... Siku moja manzi ametukuta kijiwe akaanza kutoa hi kaanzia kushoto wote anawapa mikono then anawambia mambo? Me woga woga wangu nkamwambia mambo af nkadakia mwenyewe poa poa.... Wana walicheka sana... Ilikuwa mashine 3 iringa cji sahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyingine hyoo tukiwa form two school kwetu tulikuwa tunapikiwa chai sa nne but vitafunwa tunanunua wenyewe afu duka lenyewe la shule moja tu so sa nne ikifika panajaa kinoma ni mtindo wa survive for the fittest. siku hyo sijaenda class so sanne imefika si nlikuwa nimelala domitory nikaamka na truck suit yangu nkakimbilia shop katika gombania goli sijui nani alinivuta mara suruali hii apa miguuni sina ataa boxa watu wote wameacha kunnua vitafunwa wananiangali. duuuh sitokaaa nisahau mbio nlizochomoka usain bolt ni kama anatroat... wakuu ilibidi nijipe suspaa ya wiki mbili mwenyewe......
Mkuu pole sana maana aibu uliyoipata siku hiyo ilikuwa too much..Ahahaha...mkuu mimi kuna hii niliisahau
Wakati ATM ndiyo zinakuwa mashuhuri hapa tauni mzee alikuwa anamwagiza bro akachomoe mkwanja. Sasa mimi si nikawa naenda nae nasimama mbali maana kwenda wawili si hairuhusiwi may be unasaidiwa.
Siku moja nikapata emergency mzee hayupo then natakiwa nimfuate Tanga. Akaniambia nichukue ATM nikachukue angalau nauli kidogo.
Ishu Ikaja nina kadi ya NMB then nikaenda machine ya DTB..[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimezuia foleni ya watu huko kila nikiingiza kadi inaleta mapicha picha. Hadi Askari akaja akaniambia tatizo nini? Nikamwambia haisomi akanipeleka ndani. Ile officer wa DTB anaangalia anakuta nina kadi ya nmb alikasirikaaa akataka kunizabaaa nilichomooka ndukiiii [emoji23][emoji23][emoji23] watu wote benki wakawa wananiangalia navyopotea
Niliaibikaaa saana siku hiyo aseeh