Hahaha aseeh hizi aibu zenu ni za karne [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nakumbuka kuna siku nipo darasa la saba naendesha baiskeri phonex yale makubwa sasa nilikuwa nimevaa suluar pana chini ile nimefika kilabuni nataka kushuka tu ule mguu wa kushukia suluari ikajishika sehemu ya kuwekea pampu ya kujazia upepo ,nikaanguka chini ilikuwa aibu nainuka nikachukua baiskeli nikasepa watu walikuwepo lakin sikuwaona watu kwa aibub
Hahahaaaaaa dahhh nimecheka hadi watu wananishangaaa...siku moja nikiwa china tumeenda shopping nikawakimbia masela , nikaingia kwenye mall moja kubwa sana nikapanda lift huyo hadi maduka ya ghorofani... nimemaliza shopping nikapotea na nisijue pa kutokea na huku nje jamaa wananitafuta kuona hawanipati wakatoa taarifa polisi then wale polisi wakawataarifu wenzao waliomo ndani ya ile mall kuwa wakiona black man wam'escort to the exit. Kimbembe kimekuja hapa sasa, askari alivoniona akawa anakuja na mm nikaanza kumkimbia aisee tulitimuana mle ndani sitakaa nisahau. Mpaka nimechoka jamaa akanipeleka kwa masela huku nimepata aibu ya karne
Hahaha...pole mkuu hukuwa na demu classMimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
Mbongo tena na police, me nahisi ningeangua kilio mbonaHahahaaaaa!! Kanichekesha hapo pa kutimuana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbongo tena na police, me nahisi ningeangua kilio mbona
Hauwezi Nikuta nimevaa Boots.zimenishinda kabisaaa.navaa Sandro za ngozi.kama mpemba vile.Hahaha...lakini now umebadilika mkuu! !! Au unalisongesha bado
Mungu niepushe.Una siku yako..
Namshangaa Raimundo mkuu.. may be akiingia hotelin anakunywa juice...
Pale natron palace 2015 one cup nililipa 5800 kwa naura..kilimanjaro..Serena..east africa(wamebadili jina silikumbuki) ngurudoto sijui bei zake
Rai don't you believe kuna hotel za bei hiyo bongo??
Oasis ya morogoro navyoongea now kahawa 1 cup ni 4500. Na ni hotel ya kawaida saana kwa wanaoifahamu...
siku moja nikiwa china tumeenda shopping nikawakimbia masela , nikaingia kwenye mall moja kubwa sana nikapanda lift huyo hadi maduka ya ghorofani... nimemaliza shopping nikapotea na nisijue pa kutokea na huku nje jamaa wananitafuta kuona hawanipati wakatoa taarifa polisi then wale polisi wakawataarifu wenzao waliomo ndani ya ile mall kuwa wakiona black man wam'escort to the exit. Kimbembe kimekuja hapa sasa, askari alivoniona akawa anakuja na mm nikaanza kumkimbia aisee tulitimuana mle ndani sitakaa nisahau. Mpaka nimechoka jamaa akanipeleka kwa masela huku nimepata aibu ya karne
Mbongo tena na police, me nahisi ningeangua kilio mbona
Hahaha sasa sijui alijua atawatoroka mwenyewe lolHahaha!, kama vile namuona anavyowapiga chenga...lol
Umefanya usiku niumalize vzr aiseee hahaaaaaaaa daaah nimeipenda ya kamasiKuna siku tukiwa sehemu moja yenye mandhari nzuri nilimuona babe wa ukweli kila sifa anayo ,mtu mzima nikajikaza kisabuni nikaenda kumtongoza alikuwa na besti zake 2
Ile nampiga sound nikapiga chafya ase makamasi yakanitapakaa mashavuni,puani halafu nilikuwa sina leso . aibu ya karne niliipata sina haja ya kuendelea kilichofuata
Siku nyingine namtongoza demu Fulani hivi tukiwa kwenye katikati ya kumshawishi ushuzi ukanitoka dah usiombe wakuu nilitoka nduki
Utatamani ardhi ipasuke uingie
Me niliwah kugombania daladala yan ule mbanano na mvutano wa mlangoni mpaka nafika kwenye siti vifungo vya blauzi vyote vimetatuka brazia hii hapa
Hahaha aisee we mdada umenitia [COLOUR=#0000cc] ashki sana mwenzio[/COLOUR]Me niliwah kugombania daladala yan ule mbanano na mvutano wa mlangoni mpaka nafika kwenye siti vifungo vya blauzi vyote vimetatuka brazia hii hapa