Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Juzi kati kuna dada mmoja aliachia kitu kwenye ATM ya Crdb,LAPF Dodoma,ilikua mida ya saa nne usiku nadhani alihisi yuko peke yake sasa ile anatoka na mimi naingia,daah hiyo harufu niliyoikuta ni kweree aisee,

Ilibidi nitoke kwanza iishe,kama upo humu Dada,nikupe hongera zako!hicho ni kiwanda
 
Ha ha ha ha sio mzima we jamaa
 
Kiwanda cha biogas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikute alikula ugali na maharage tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikua home sas sikuona kama mzazi yupo maana nikiwekaga mpira huwa wanaondoka nikaachia mzigo wa sauti, nikasikia mtu anaguna huku anasema jehova jehova! naona mtu anashusha miwani yake kidogo akaniambia kwa raha zako baba eeh
Haaaa haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona ulivyokuwa mdogo kama paka kamwagiwa maji uwiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…