Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewahi kujamba staff,,,nilikua nasinzia nikapitiwa usingiz,,,nikaskia Jirani yangu anacheka na Wakati huo nilikua nahisi/naota najamba,,,niliskia aibu sana
 
, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alitoka nduki si kitoto.....mimi ikabidi niearuhusu kwani nao walikuwa hoi kwa kicheko,
Baada ya ya kujamba jamaa alishtuka kisha akasema; "Haaaaa! nimejamba?" akatimua mbio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati tupo msingi kuna majamaa walikuwa wanashindana kutoa mashuzi huku sisi wapambe tukishangilia,
punde si punde jemba moja wapo likaachia shuzi lile la Prapatatataaah!

Mchizi pale pale akawa keshajinyea tepe tepe....Nilikula stick plus kumuita mzazi juu (mimi kama mdhamini wa pambano).
 
Uyu manzi alinijambia hapa akiwa kalala hapo kwa mitego ananisubiri nimpe dozi.
IMG_20190921_000449_3.jpeg
 
Back
Top Bottom