Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmm aibu ya mwaka alikula nini kisha akaenda ukweni? Kama hajawahi kurudi mtoto wao si anaishi naye? [emoji23]Kuna jamaa alijamba mbele ya wakwe zake
aliondoka mpaka leo hajawahi kurudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo unamaanisha marinda kwishinee?Bila shaka huu uzi utakuwa ni wasio na marinda wakiongozwa na muweka hazina wao mleta mada
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi hoiiMimi nipo busy nasikiliza nobody can stop reggae, [emoji16][emoji16]
S mwanafunzAmelala kimitego, unakula mwanafunzi nini
aliondoka peke yake hajulikan alipoMmmm aibu ya mwaka alikula nini kisha akaenda ukweni? Kama hajawahi kurudi mtoto wao si anaishi naye? [emoji23]
Jamaa komenti zako na avatar the sameungemjambia na wewe
Hii imenikumbusha tulikuw tunaogelea dogo mmoja kaamua kushusha mzigo/kunya kwenye maji sasa mzigo ukitoka unapanda mgongoni kwake ye hajui tulimpa kipigo kitakatifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku naenda kutoa hela kwenye ATM chuo nashangaa aliyekuwa ndani ananionyesha ishara nisiingie maana kwenye ile booth kuna ATM mbili, Bwana kumbe mwenzangu alikuwa kaachia bonge la ushuzi hataki mtu aje na bado hakuwa amechukua hela.
Nilivyoingia nikakuta harufu mbaya ya vitunguu swaumu na uozo si uozo, jamaa alitimka fasta kishenzi hadi akasahau kadi yake .... yule jamaa nilimvulia kofia
ukiambiwa uwage unasikia lamkuuKuna siku naenda kutoa hela kwenye ATM chuo nashangaa aliyekuwa ndani ananionyesha ishara nisiingie maana kwenye ile booth kuna ATM mbili, Bwana kumbe mwenzangu alikuwa kaachia bonge la ushuzi hataki mtu aje na bado hakuwa amechukua hela.
Nilivyoingia nikakuta harufu mbaya ya vitunguu swaumu na uozo si uozo, jamaa alitimka fasta kishenzi hadi akasahau kadi yake .... yule jamaa nilimvulia kofia
[emoji16]Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]